ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,121
- 5,332
Kwanza niwapongeze wote mliofaulu, na nawaombea mfike mbali na elimu yenu.
Pia si kwamba hatupendi usumbufu wenu, ni haki yenu kuuliza, ila sasa kila mtu akiuliza habari za uwezekano wa kwenda chuo najua kabisa hata wakutoa majibu watachoka kuwasaidia.
Vitu vidogo kama hivi hakuna ulazima wa kuuliza uliza sana, ni kukaa chini pitia documents husika mtandaoni utajua cha kufanya.
Kama mlio mtaani mnambwembwe kiasi hiki, je wenzenu walio makambini JKT wasemaje!! kuweni wapole kama umefaulu basi utasoma tu, na si lazima iwe chuo kikuu hata vyuo vya kati au vua ufundi, cha msingi upate knowledge itakayokuwezesha kuwa na cha kufanya kujiingizia kipato, yes watu wanasoma ili kupata pesa.
Sasa kuna vitu vitatu mnatakiwa kupitia, kuna kitabu kinakuwa na list ya vyuo vyote na programs za masomo zinazotolewa, hicho ni muhimu ukipate, pita mtandaoni TCU website utakipata, baadhi wa watu ma stationeries wanacho hardcopy,
Pia unatakiwa kujua vigezo kwa kila faculty, na tatu jua ku-calculate cutting points kulingana na grades za matokeo yako.
Kuhusu mkopo, hapa jf hakuna mtu wa kukuhakishia kupata au kutopata mkopo.
Ni HESLB wenyewe. Kasome vigezo vyao, angalia faculty ambazo zina priority kupata mkopo (maana si zote) kisha appy hizo kama unataka.
Anza kujipanga sasa kujua unataka kusoma nini na kwa nini ili usije kujutia baadaye kuwa umepoteza muda chuoni.
Unaweza pitia hizo ducuments pia.
View attachment Admissions Almanac for 2019_2020.pdfView attachment 2019.20_ Undergraduate Application Procedure.pdf