Evodius Mbilla
Member
- Apr 26, 2013
- 13
- 8
Mwananchi: Msh. Ebu tueleze hawa wawekezaji (wazungu) wanao chimba madini ya eneo lako la wilaya una taarifa zozote na kama ndio nini hatima ya wananchi kuhusu kunufaika kwao?
Mbunge: Ndugu zangu wananchi kweli mimi sijui chochote kuhusu hao wawekezaji na sijui watafanya nini kwa ajili yenu. Ila ebu tumuulize MWENYEKITI WA KIJIJI mzee .......... kama kunachocho alichoambiwa.
Mwenyekiti: .............................
Kweli nilibahatika kuhudhulia kikao hiki cha mheshimiwa na kujionea mwenyewe kimbwanga hiki na kuniacha na maswali mengi. Labda kutokana na kutokujua kwangu mambo ya siasa ndo mana nilibaki mdomo wazi. Ndipo nilipojioji swali hili
Je, ni kweli kwamba mheshimiwa huyu hajui chochote kuhusu hawa wawekezaji walioingia katika eneo lake na kuchimba madini?
Je, mwenyekiti huyu wa kijiji alitendewa hiki kutupiwa swali hili zito na mheshimiwa?
Je, tuseme hawa wawekezaji wameingia kinyemela?