UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Umasikini bwana unatutesa, baada ya kujaza umepata kamisheni kiasi gani?
Hali ngumu ya maisha haijawahi kumwacha mtu salama
Mkuu dr. L. M wa milembe hajamboNimejaza Kaunta La Maadui Mara Tu Niliposoma Msemo Huo
Mkuu dr. L. M wa milembe hajambo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .amepata nafuu.amejiona ameponaaa.Hajambo Lakini Kalalamika Eti Tangu Utoke Milembe Hukurudi Tena Kuchukua Vidonge Mimi Na Madaktari Wenzangu Tumepanga Ukianza Kuumwa Tena Ukaletwa Hatutakupokea Kwakuwa Umetudharau