Ni hatua nzuri. Swali ni masuala ya msingi yametatuliwa? Itakuwa haina maana wala haipatani na akili kama KILA uchaguzi kunakuwa na machafuko hata mauaji, lkn baadaye viongozi wanakunywa chai na kushikana mikono halafu mambo yanaishia hapo.

Mimi nlielewa hapo Raila aliposema kwamba walirejelea kuongea mambo yaliyopita baina yake yeye na Uhuru. Lakini umeuliza swali poa sana, maana hakuna haja ya kusameheana sasa halafu tukirudi uchaguzi twaanza tena.