Forget Passwords Login kwenye PC Yako using your face (facial recognition security software)

Forget Passwords Login kwenye PC Yako using your face (facial recognition security software)

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Iko poa hii software wakuu, simply jaribu kuicheck na uone inakuaje.
NB: light affects the recognition process, kama wakati una register face ulikua kwenye mwanga mzuri then usiku gizani ukataka kujaribu kuitumia inaweza kukuzingua kwa kua kuna mwanga hafifu.
 
Attachments

kwa hiyo mpaka usahau password ndo inafanya kazi. je kama nikitaka sura yangu ndo iwe kama password inakuwaje?
 
kwa hiyo mpaka usahau password ndo inafanya kazi. je kama nikitaka sura yangu ndo iwe kama password inakuwaje?

Mkuu umeniquote vibaya, nlichomaanisha kwamba sahau ulimwengu wa kuingiza passwords, tumia sura yako iwe ndio kama password!
 
ofcoz ni ya ukwel,lakn najua km nliregister face ucku af mchana km nna shda ya haraka inaweza ikanikanizingua
 
Hizi facial recognition softwares zinahitaji multiple shots ili zisisumbue.
Mi natumia ile ya YouCam, nimepiga picha katika different light intensity so hata katika mwanga hafifu au mkali sana mi natumia tu face yangu kama password na inakubali kuwork.
 
tupe link ya ku download dat software
 
mbona mi nimedownload inakuja document kwenye word ambayo haisomeki hat kueleweka?
 
Muhm hapa ukumbke kuweka mapoz yako yote maana inakuwezesha kuweka picha kuanzia saba.
weka picha zenye hiz sifa
ukiwa kwenye mwanga mkal
mwanga wa kawaida
mwanga hafifu
ukiwa umenuna
una furaha
huna hela,ya pozles
chumban sijui wapi wapi huko

haya n maon yang maana kuna cm ilitoa jasho baada ya kutaka kuitmia night
 
Haahahaaaa
 
Angalizo kwa watumiaji msipande bodaboda...unaweza kuharibiwa face ndani ya mda mfupi tu kwa ajali af cm ikagoma kuusoma huo uso uliopigwa msasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom