Forget my password

Forget my password

Great Surgeon

Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
20
Reaction score
0
wat to do.............i have changed my gmail account
password six month ago.......but i don remember it.....wat should i do
 
U *o****

Bonyeza pale wameuliza umesahau pasiwodi
 
Napenda kushauri kabla ya kuleta swali huku jaribu kupitia google kwanza upate ushauri ukiona hujaelewa ndio uje huku sasa kama hilo swali lako lipo kwenye FAQ ya gmail umeshindwa kwenda huko na kusoma nini cha kufanya. Kabla hujaomba msaada onyesha jitihada kidogo basiiii
 
Snipa chukua tano, unaomba msaada unaandika kama unamuandikia girlfriend/boyfriend wako nani atapoteza muda wake kukujibu maana anaona hauko serious
 
napenda kushauri kabla ya kuleta swali huku jaribu kupitia google kwanza upate ushauri ukiona hujaelewa ndio uje huku sasa kama hilo swali lako lipo kwenye faq ya gmail umeshindwa kwenda huko na kusoma nini cha kufanya. Kabla hujaomba msaada onyesha jitihada kidogo basiiii

nimejarbu lkn haikubali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom