Serikali za CCM toka lini zimewahi kusikiliza hoja na ushauri wa kujenga? Maana kufanya hivyo kunamaanisha upigaji na ufisadi utazuiwa na wao kukosa deals.Tatizo humu ndani kuna watu wengine uzalendo hawana kabisa wao kila kitu ni nikupinga tu lakini hawaonyeshi njia ya nini kifanyike.
Matusi, kejeli na dharau kamwe haviwezi kujenga nchi hii, bali ni hoja nzuri na zenye mashiko ndizo zitakazoijenga nchi yetu.
Hebu badilikeni ninyi watu wenye tabia hiyo!
Na hapo ndilo tatizo letu, kiongozi akimaliza muda wake, akija mwingine anaanza upya, kwa nini?And, according to what is being evangelised, Tanzania shall be midle income country by 2025 - a dacade journey from now.
The point in discussion is far beyond being in bottom, middle, or top. It is about prosperity. About economic development, not economic growth.
Please! Our leaders pave the way in a good will.
Most of our countries lack 'leadership succession'. Once a leader step down, he step with all 'bags' and hints.
We Rweye, mtoa mada hajamlaumu Magu, soma elewa, HV nshomile yako uko wapi km ht huo Uzi unashindwa kuuelewa umelenga nini!!Sidhani kama uko realistic mkuu. Yaani survey ya mwaka mzima wa miezi 12 unaihusishaje na utawala uliokaa mwezi 1tu? JK kakaa miezi 10 na Magufuli miezi 2, ukitoa ripoti ya mwaka kwa serikali 1 hii ripoti itamhusu ile ya mwezi 1 ama ile ya miezi 10?
Soma hii thread vizuri nafikiri haina post nyingi sana hasa post ya kwanza kuna link ya hiyo taasisi ambayo hutoa hiyo ripoti kila mwakaHiyo ripoti inatolewa na nani Belo ili tuipitie kwani kama ni kweli ni habari njema. Hatujawahi kuwa juu zaidi ya hapo siku zilizopita?
Maeneo mengine tumesogea mbele, mengine tumerudi nyuma. Lakini, kwa ujumla, hali haiiridhishi. Hatupaswi kuwa katika nafasi hizo kwa utajiri tulio nao.Mwaka 2015
Economy: Tanzania sits at 114 out of 142
Governance: Tanzania ranks number 95 out of 142
Education: Tanzania is number 125 out of the 142 countries
Health: Tanzania sits at number 122 out of 142.
Safety and Security: Tanzania sits at 116 out of 142
Social capital: Tanzania is 78th out of the 142 countries
Personal freedom: Tanzania is 94th out of the 142 countries
Entrepreneurship and opportunity: Tanzania sits at number 116 out of 142
Mwaka 2016
Economy: Tanzania sits at 100 out of 149
Governance: Tanzania ranks number 82 out of 149
Education: Tanzania is number 114 out of the 149 countries
Health: Tanzania sits at number 124 out of 149.
Safety and Security: Tanzania sits at 100 out of 149
Social capital: Tanzania is 70 out of the 149 countries
Personal freedom: Tanzania is 111 out of the 149 countries
Overall ni kutoka nafasi ya 117 hadi 109