Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,533
- 32,757
Inawezekana. Lakini inahitaji kufanya kazi kweli zaidi ya kucheza na mindsets za watanzania. Inahitaji mabadiliko makubwa sana ya mfumo wa uongozi na uwajibikaji. Hii inamaanisha, inahitaji Magufuli ajitenge kikwelikweli na 'zigo' la CCM. Na namna ya kujitenga inafahamika na ipo ndani ya uwezo wake kama rais. Akiweza kufanya hivyo, hakika ndani ya miaka 5, prosperity index yetu yaweza kuwa bora.
umeeleweka mkuu, lakini mbadiliko ya kweli hayatatokea kama hataanza na wale waliofyeka fedha za taifa hili bado wana enjoy maisha, mfano A.Chenge alifyeka fedha za rada , bado tunacheka naye tu, waliofyeka fedha za EPA wakaambiwa warudishe sijui kama walirudisha maana orodha haikutoka kama ya wale wa makontainer, walifyeka fedha za kukopeshwa Dola mil. 600 ndio kabisa hawajaguswa had SFO inashangaa, walificha fedha ulaya, haya tuseme ZITTO hajampelekea orodha au ilikuwa kanjanja, ifike hatua magufuri afufue kesi za zamani ambazo watu walikwiba fedha na hawakuchukuliwa hatua, fedha hizo zikikusanywa zitatuvusha.Umesoma na kuelewa kweli? Ebu rudia tena kusoma.
Na kama unaelewa 'Magufulisation' ni nini, itakuwa rahisi kuelewa zaidi.
Lakini pia, kumbuka hii ni serikali ya chama kilekile cha utawala (napendelea zaidi uongozi badala ya utawala, lakini kwa kuwa kiuhalisia ni utawala, ngoja nitumie utawala) uliopita. Kilichofanyika ni mabadiliko ya mtu anayeongoza utawala. Ingawa ni kweli kabisa, mtawala huyu akiamua kuweka maslahi ya nchi mbele, anaweza kujitofautisha na utawala uliopita. Na hii naiona ni shida: kutaka kuitenga CCM na Magufuli. 'Zigo' la CCM Magufuli hawezi kuliepuka mpaka pale atakavyotenda kama statesman.
Hivyo basi, hata kama amekaa siku 52 madarakani, haimaanishi masuala ya prosperity hayamhusu. La hasha! Hizo poor rankings zimesababishwa na serikali za chama kilichopo madarakani. Kwa kuwa Magufuli naye anatokana na chama hicho hicho, hawezi kukwepa lawama na majukumu katika hili. Kwa hiyo, nilichofanya ni kumkumbusha uhalisia uliopo mtaani. Ingawa naamini anaweza kuwa anafahamu; siyo vibaya kumkumbusha. Aweke nguvu huko kunakohitajika zaidi. Na nimeweka hilo katika kuwakumbusha fanatics wa Magufulisation kuwa uhalisia mtaani haupo kama vile wanavyotaka kuuaminisha ulimwengu.
Sasa labda nikusaidie tu: hizo rankings zinaonyesha, in fact zinathibitisha tu hali halisi ilivyo on the ground. Hii 'Magufulisation' trend ya kucheza na mindsets za waTZ kupitia media haiendani na hali halisi ilivyo. Na nikasema, majawabu yote yapo mezani kwa Magufuli. Anachopaswa kufanya ni kufikiri na kufanya maamuzi kama kiongozi mwenye kuweka maslahi mapana ya nchi na siyo chama. Hii inamaanisha hata kama ni kwa kubadili status quo iliyotengenezwa na chama, na kumjengea maadui ndani ya chama.
Mi nadhani hata kama chadema wangetangazwa kushida uchaguzi uliopita namba zingebaki kuwa hizohizo tu,cha msingi tumpe mda magufuri tuone kama namba zitachange kitu ambacho kwa mtazamo wangu naona kitashindikana kwa approach aloanza Nayo.
tatizo mifumo ya vyama vetu navyo ni hovyo mfano CCM/CDM mwenyekiti wa chama ndo ana nguvu kuzidi hata chama-mwenyekiti kikwete unategemea nini.maigizo kama kawa
umeeleweka mkuu, lakini mbadiliko ya kweli hayatatokea kama hataanza na wale waliofyeka fedha za taifa hili bado wana enjoy maisha, mfano A.Chenge alifyeka fedha za rada , bado tunacheka naye tu, waliofyeka fedha za EPA wakaambiwa warudishe sijui kama walirudisha maana orodha haikutoka kama ya wale wa makontainer, walifyeka fedha za kukopeshwa Dola mil. 600 ndio kabisa hawajaguswa had SFO inashangaa, walificha fedha ulaya, haya tuseme ZITTO hajampelekea orodha au ilikuwa kanjanja, ifike hatua magufuri afufue kesi za zamani ambazo watu walikwiba fedha na hawakuchukuliwa hatua, fedha hizo zikikusanywa zitatuvusha.
Labda rudia tena kusoma utaelewa! Sasa hivi Magufuli ndo Mkuu wa nchi ulitaka wamwongelee kikwete tena hapa? Magufuli afikrie anatutoaje huko! Na hii kwenye governance mwakani lazima tuporomoke tu, kwa haya mambo ya Zanzibar na kuzuia mikutano ya wapinzani huku wenyewe ccm wakifanya mikutano ni upumbavu uliopita kiwango cha upumbavu! Mwakani tutakuwa wa 140!
mkuu kwani yeye amesema kuwa magufuli ndio kasabibisha,kimsingi haya yote ni kutokana na utawala mbovu wa ccm kwa miaka yote
Queen Esther;14972846 said:1. What do you think Dr. Magufuli should do for the eight mentioned issues so that he can take our nation to the next level.
Identifying a problem without unveiling proposed solutions is not the character of a Great Thinker.
Queen Esther;14972846 said:2. What is the contribution of the party to the eight mentioned issues.
Queen Esther;14972846 said:3. What is the culture of Tanzanians? Do you think with this culture of ours we can easily tackle the eight mentioned problems and have our breakthrough?
Queen Esther;14972846 said:4. We are the least ranked in education and better in personal freedom, what are your views concerning that.
Queen Esther;14972846 said:5. Can you plz show the list of countries surveyed? What is the benchmarks for East African Countries??
Hizi habari huwa hawataki kabisa kuzisikia watu wa upande flani,lakini pamoja nakutozitaka hawana mikakati ya kuziboresha ili wasiziskie au kuziona..Ila wanaweza weza wakazuia vyombo vya habari kuonye matukio kama haya.Haya sasa....hali halisi ndiyo hii...Songea vyoo vinafurika kwenye hospitali. Sasa sijui hilo 'jipu' nalo linahitaji mtumbuaji? Yaani tatizo lipo kwa muda wa siku 4!! Wagonjwa wanajisaidia kwenye ndoo na madishi!
Hizi habari huwa hawataki kabisa kuzisikia watu wa upande flani,lakini pamoja nakutozitaka hawana mikakati ya kuziboresha ili wasiziskie au kuziona..Ila wanaweza weza wakazuia vyombo vya habari kuonye matukio kama haya.Haya sasa....hali halisi ndiyo hii...Songea vyoo vinafurika kwenye hospitali. Sasa sijui hilo 'jipu' nalo linahitaji mtumbuaji? Yaani tatizo lipo kwa muda wa siku 4!! Wagonjwa wanajisaidia kwenye ndoo na madishi!
Nawakumbusha tu kwamba populism haitafanya huduma za afya na za kijamii kwa ujumla ziboreka. Hilo la kutumbua majipu, ndiyo Rais populist analifurahia kwa kuwa anafahamu watanzania wengi watashangilia kelele anazozipiga.Hizi habari huwa hawataki kabisa kuzisikia watu wa upande flani,lakini pamoja nakutozitaka hawana mikakati ya kuziboresha ili wasiziskie au kuziona..Ila wanaweza weza wakazuia vyombo vya habari kuonye matukio kama haya.
Sidhani kama uko realistic mkuu. Yaani survey ya mwaka mzima wa miezi 12 unaihusishaje na utawala uliokaa mwezi 1tu? JK kakaa miezi 10 na Magufuli miezi 2, ukitoa ripoti ya mwaka kwa serikali 1 hii ripoti itamhusu ile ya mwezi 1 ama ile ya miezi 10?
Tatizo mmefungwa makufuli kawa Mungu mtu,amesema kuwa anatakiwa angalie hayo.....afanye mabadiliko hivyo ndo hali ilivyoSidhani kama uko realistic mkuu. Yaani survey ya mwaka mzima wa miezi 12 unaihusishaje na utawala uliokaa mwezi 1tu? JK kakaa miezi 10 na Magufuli miezi 2, ukitoa ripoti ya mwaka kwa serikali 1 hii ripoti itamhusu ile ya mwezi 1 ama ile ya miezi 10?
Mods wenyewe wanafurahia matusi...watu wengi humu lugha yao ni ya matusi tu lakini hawachukuliwi hatuaHuyu jamaa anapenda kutukana wenzake hata pale ambapo hakuna sababu, mods muonyeni huyu jamaa
Chifu, pale ni kuweka daraja tu...na hayo wala siyo mafuriko, ni mfano wa mafuriko...eneo lenyewe dogo na limekuwa sugu miaka nenda rudi mvua zinaponyesha...mwaka jana kama siyo hapo ni eneo jirani kuna polisi alikufa na familia yake...sasa kwa vile unafurahia siasa za kufuata upepo, endelea kufanya hivyo...ila uhalisia wa mambo unazidi kumwumbua mungu mtu wenu...Sasa ulitaka wapite huku kuna mafuliko,hebu acha mambo ya ajabu we mtoa mada..hata marekani na nchi nyingne kibao huwa zanakumbwa na matatizo kama hayo,au ulitaka magufuli akazuie hayo maji kwa mikono?