Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,387
- 100,502
Umesoma na kuelewa kweli? Ebu rudia tena kusoma.
Na kama unaelewa 'Magufulisation' ni nini, itakuwa rahisi kuelewa zaidi.
Lakini pia, kumbuka hii ni serikali ya chama kilekile cha utawala (napendelea zaidi uongozi badala ya utawala, lakini kwa kuwa kiuhalisia ni utawala, ngoja nitumie utawala) uliopita. Kilichofanyika ni mabadiliko ya mtu anayeongoza utawala. Ingawa ni kweli kabisa, mtawala huyu akiamua kuweka maslahi ya nchi mbele, anaweza kujitofautisha na utawala uliopita. Na hii naiona ni shida: kutaka kuitenga CCM na Magufuli. 'Zigo' la CCM Magufuli hawezi kuliepuka mpaka pale atakavyotenda kama statesman.
Hivyo basi, hata kama amekaa siku 52 madarakani, haimaanishi masuala ya prosperity hayamhusu. La hasha! Hizo poor rankings zimesababishwa na serikali za chama kilichopo madarakani. Kwa kuwa Magufuli naye anatokana na chama hicho hicho, hawezi kukwepa lawama na majukumu katika hili. Kwa hiyo, nilichofanya ni kumkumbusha uhalisia uliopo mtaani. Ingawa naamini anaweza kuwa anafahamu; siyo vibaya kumkumbusha. Aweke nguvu huko kunakohitajika zaidi. Na nimeweka hilo katika kuwakumbusha fanatics wa Magufulisation kuwa uhalisia mtaani haupo kama vile wanavyotaka kuuaminisha ulimwengu.
Sasa labda nikusaidie tu: hizo rankings zinaonyesha, in fact zinathibitisha tu hali halisi ilivyo on the ground. Hii 'Magufulisation' trend ya kucheza na mindsets za waTZ kupitia media haiendani na hali halisi ilivyo. Na nikasema, majawabu yote yapo mezani kwa Magufuli. Anachopaswa kufanya ni kufikiri na kufanya maamuzi kama kiongozi mwenye kuweka maslahi mapana ya nchi na siyo chama. Hii inamaanisha hata kama ni kwa kubadili status quo iliyotengenezwa na chama, na kumjengea maadui ndani ya chama.
The world's prosperity index has just been published. The Legatum Institute, a London-based think tank has released the 2015 prosperity index. As it has been the case for the last six years, Norway sits at the top, followed by Switzerland, Denmark, New Zealand and Sweden in the top five.
This year's index has based on eight subindexes: economy, governance, education, health, safety and security, social capital, personal freedom, and entrepreneurship and opportunity.
On the methodology, "the Index is distinctive in that it is the only global measurement of prosperity based on both income and wellbeing". "Traditionally, a nation?s prosperity has been based solely on macroeconomic indicators such as a country?s income, represented either by GDP or by average income per person (GDP per capita). However, most people would agree that prosperity is more than just the accumulation of material wealth. It is also the joy of everyday life and the prospect of being able to build an even better life in the future". You can find methodology and technical appendices at http://www.prosperity.com/#!/
What has captured me the most is Tanzania's rankings. Overall, Tanzania ranks 117 out of the 142 countries surveyed. What is more interesting is when reading the subindex rankings.
Economy: Tanzania sits at 114 out of 142
Governance: Tanzania ranks number 95 out of 142
Education: Tanzania is number 125 out of the 142 countries
Health: Tanzania sits at number 122 out of 142.
Safety and Security: Tanzania sits at 116 out of 142
Social capital: Tanzania is 78th out of the 142 countries
Personal freedom: Tanzania is 94th out of the 142 countries
Entrepreneurship and opportunity: Tanzania sits at number 116 out of 142.
Now that is the reality we need to deal with and have it in our discussions. What Magufuli is doing is okay. But, he needs to go back to the drawing board and ponder how to salvage the situation. Ways and means are all on his table and reach, he just needs to think and act like a statesman and not party man.
Natumaini takwimu za mwakani zitakuwa juu zaidi kama ni kila mwaka wanafanya utafiti huu
Wewe Hauna Akili!
This is outrageous! We were in the same position at independence in 1961, i.e., 25th from the bottom (!), though the ranking then covered fewer nations and it was less comprehensive. Our position then was at per with the likes of Malaysia and South Korea. Whilst we are now worse off (54 years down the road) these nations are among the world's top industrialised powers. Strictly speaking, the figures in the ranking are not intended for akina Magufuli as they would just brush them off as nonsense, they for us to ponder and seriously chart out the future of our nation.
Sidhani kama uko realistic mkuu. Yaani survey ya mwaka mzima wa miezi 12 unaihusishaje na utawala uliokaa mwezi 1tu? JK kakaa miezi 10 na Magufuli miezi 2, ukitoa ripoti ya mwaka kwa serikali 1 hii ripoti itamhusu ile ya mwezi 1 ama ile ya miezi 10?
Wewe Hauna Akili!
Mkuu hapo umenena.ila mtz na elimu zetu zinazochujwa kila siku ni vigumu kukuelewa.
Nakuunga mkono utafiti wa maana ni lazima uwe wa kipindi kirefu cha kutosha, ndiyo maana inanishangaza wanaomhukumu Rais wetu kwa siku chavhe alizokaa madarakani ikifikia wengine kupendekeza hata kusiwe na chaguzi vipindi vinne vujavyo! Angalia pande zote usiangalie upande mmoja tuSidhani kama uko realistic mkuu. Yaani survey ya mwaka mzima wa miezi 12 unaihusishaje na utawala uliokaa mwezi 1tu? JK kakaa miezi 10 na Magufuli miezi 2, ukitoa ripoti ya mwaka kwa serikali 1 hii ripoti itamhusu ile ya mwezi 1 ama ile ya miezi 10?
Nakuunga mkono utafiti wa maana ni lazima uwe wa kipindi kirefu cha kutosha, ndiyo maana inanishangaza wanaomhukumu Rais wetu kwa siku chavhe alizokaa madarakani ikifikia wengine kupendekeza hata kusiwe na chaguzi vipindi vinne vujavyo! Angalia pande zote usiangalie upande mmoja tu
Nzi,Hii mada ni nzuri sana nafikiri unaweza ukabookmark ili kila mwaka tuwe tunaangalia tunakwenda wapi,Watawala wetu waliopita wameifikisha nchi sehemu mbaya sana kwa kujali maslahi yao.Magufuli ameonyesha ni kiongozi anayeweza kutusaidia sana.Kuna vipengele ambavyo vinapaswa kupewa kipaumbele na hadi sasa Raisi amejitahidi hasa
Economy,Governance,Education,Health,Entrepreneurship and opportunity,Mwisho wa mwaka tukutane tena kufanya assesment hapa naamini tutakuwa tumepiga hatua
Mi nadhani hata kama chadema wangetangazwa kushida uchaguzi uliopita namba zingebaki kuwa hizohizo tu,cha msingi tumpe mda magufuri tuone kama namba zitachange kitu ambacho kwa mtazamo wangu naona kitashindikana kwa approach aloanza Nayo.