Forex trading: Taarifa sahihi za Templer forex broker

Behind Every Successful Trader Is An Honest Broker

BROKER nilioona ni wazuri ni hawa,,, maana niwakti sasa wakutumia
trueECN Brokers,,, kama huyu >>>1. LITEFOREX.COM . Kitu kimetulia,, ukiwa na Mastercard au Visa tu maisha yanaenda bila presha za akina eLipa. hakuna kutanua spread kama templer anvyofanya, ukiwa na usd 10 atakavyokufanya hutkaa utrade
2. ni WWW.EXNESS.COM m pesa support
 
kwa hiyo wewe unamtumia yupi broh
 
Mi najifunza toka juzi kwenye demo na nimejisajili na huyo templerfx naona mambo si mabaya mpaka nikija kuanza na real account maana nimeanza na mtaji wa 10000usd demo kwa lot size ndogo kabisa 0.01 japo demo siyo lazima broker ila nimejisajili baada ya muda mfupi nianze.
 
Ichome hiyo ibaki 100usd then panda nayo to 1000 kwa hizo lot size ingawa demo sikushauri ni kupoteza mda fungua hata cent acc then trade ila kama umeanza juzi bro soma sana kwanza then rudi kupractise ulichosoma kwenye chart una safari ndefu sana.
 
Unatskiwa uwe na account 2 real na demo.

Demo uitumie kutest mitambo. Real ni muhimu kwa ajili ya kubuild emotions control.
 
Ichome hiyo ibaki 100usd then panda nayo to 1000 kwa hizo lot size ingawa demo sikushauri ni kupoteza mda fungua hata cent acc then trade ila kama umeanza juzi bro soma sana kwanza then rudi kupractise ulichosoma kwenye chart una safari ndefu sana.
Pasua kichwa $100 to $1000. Hapo kublow account nje nje.
 
Sikukatishi tamaa ila real anza walau mwezi wa tatu na achna na demo nenda cent acc, soma tumia muda mwingi kusoma,follow traders wengi insta pitia materil yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nani akushukuru unaleta vilink ili upate commision pumbafu kabisa trade mwenyewe sio kusubiri wanaume wadeposit ndipo upate
sasa,, unadhani si trade au ? hao wanauza signals unadhani hawatrade! kila mmoja ananjia za kujipatia kipato,, internet is free for everyone ! i didnt force you to join and the truth is ,, pesa hazijawahi kumtosha mtu akaridhika! na kama nimemleta broker kwako ambaye humfahamu ni faida kwako, sasa mimi kupata $0.10 kwako unaona ni pesa mingi sana. all in all nimekusaidia kumpata broker ambaye utatrade hata ukiwa weekend kwa pair za kutosha na registration yake ni faster compared to other brokers
 
Haya mambo nayaskiaga lakini sijawahi kuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
internet inatosha kuanza kuelewa,, tafuta hata kwakiswahili wapo wabongo amabao wameeleza vizuri tu haya mambo,, however to master the game you need mentorship.
maana pdf zinawezakukuua kwakuzisoma.. kama huelewi zaid,,ingia youtube mtafute Adam khoo ,,anavideo za kuanzia,,
au ingia google,, tafuta babypips anza kusoma
 
Mkuu yani mungu akubaliki siku zote mwenyew moto safi ndo hufanikiwa nakuombe dua siku upige mzigo wa kishindo huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…