Forex trading: Taarifa sahihi za Templer forex broker

(Ishu watu washushe broker makini na eaukweli na faida zake na criteria/condition tamu alizonazo thn beginner atafanya comparison na huyo broker wa mwalimu wake)
Elimu kwanza, Inatakiwa wewe binafsi ufahamua ABC's za broker: Forex Broker Types: Dealing Desk and No Dealing Desk , Hivyo kwa anayeanza akishakuwa na ABC's za aina za broker, hatoweza KUSHINDWA kujichagulia broker mmoja kati ya mamia ya brokers

(Tatizo la WaTZ wengi hawataki kutumia muda mwingi kufanya tafiti na kujifunza kwanza juu ya jambo fulani.)

Pili: Rejea comment no.3 na no.4 hapo juu - Imegusia kila kitu muhimu hadi vigezo vya kuzingatia.
 
Mkuu naomba niseme unajua unachofanya. Kula tano. Safi sana , I like your approach.
 
0744544399,, Mkuu naomba tuwasiliane whatsap,nipaje maujuz kidogo,maana ndo kwanza naingia
 
https://www.top8forexbrokers.com/uk/
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader
 
Mbona trader wengi wanalalamika kwamba hii Huduma huwezi kutuma kwa broker
 
nimecheka sana kwasababu mi ni sclaper mzuri tu aisee forex inautamu wake nyie asikuambie mtu haha tunaenjoy sana
 
utility bills iwe na jina sahihi lako
 
templer sometime huwa ni mshenzi mshenzi kunatime nilikua natrade na mabroker wawil tofauti pair Eurjpy kwa broker huyu pair inatembea ipo kama 20pips down ila templer ye kastack kama ina consolidate mara galfla ikafumuka naona ni server zake hazipo friendly
 
nimecheka sana kwasababu mi ni sclaper mzuri tu aisee forex inautamu wake nyie asikuambie mtu haha tunaenjoy sana
aisee kuna watu hawataki kusikia hizi kauli 😂😂
 
Mmmmmh hii biashara ina wapigaji wengi hadi mtu unaogopa kuingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…