Lot size ulizokua una weka ukiwa na 300usd ungetumia hizo hizo ukiwa na 1000usd.Habari Wakuu,
Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.
Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa kubwa 1000 USD.
Pale ndipo balaa lilipoanza kwani kabla sijfunga na kufungua macho, week iliyopita siku ambayo sitaki kuikumbuka, pale nilipofunga na kufumba na kufumbua macho, trade ilienda tofauti kabisa na kufuta balance yangu yote.
Hapa nilipo sina hamu tena ya hii kitu
Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.
Mmc
Sio kitu kirahisi mkuuMnaokimbiza forex nawavulia kofia, mi nlikuwa naona nyota tu.
Kinachoponza kwenye forex ni tamaa ya pesa ya haraka.Lot size ulizokua una weka ukiwa na 300usd ungetumia hizo hizo ukiwa na 1000usd.
Niliacha kitambo kaka, kuna mshikaji anaitwa Gasper aliniuzia Robot lake linalotrade automatic...Mkuu si ulikuwaga unadanrodi hela zama za ontario mwamba wa jangid plaza
UkomeNiliacha kitambo kaka, kuna mshikaji anaitwa Gasper aliniuzia Robot lake linalotrade automatic...
Lilikuja likaunguza account yangu ya $4000.
Halafu tena kuna yule mshikaji anaitwa Gammy walikua pale Mlimani Tower, walinichomea account yangu ya $1000 walikua wanafanya Account Management mwisho wa mwezi tunagawana profit 60 to 40.
Mpaka leo sijainuka tena. Ndio nataka nirudi sasa.
Dah wamekupiga dollar 5000 tayari duh!Niliacha kitambo kaka, kuna mshikaji anaitwa Gasper aliniuzia Robot lake linalotrade automatic...
Lilikuja likaunguza account yangu ya $4000.
Halafu tena kuna yule mshikaji anaitwa Gammy walikua pale Mlimani Tower, walinichomea account yangu ya $1000 walikua wanafanya Account Management mwisho wa mwezi tunagawana profit 60 to 40.
Mpaka leo sijainuka tena. Ndio nataka nirudi sasa.
Yale marobot hayawezi kudetect news kama NFP Ile ya ijumaa ya kwanza ya mwezi hata mm walisepa na 300$ yanaweka order TU na kuhold sitaki kusikia tangu 2017Dah wamekupiga dollar 5000 tayari duh!
Kumbe yale maroboti yanatafunaga hela mle😂😂😂
Yenyewe yanafata candle sticks tu😅😅😅Yale marobot hayawezi kudetect news kama NFP Ile ya ijumaa ya kwanza ya mwezi hata mm walisepa na 300$ yanaweza order sitaki kusikia tangu 2017
Pakiwa na news utakuta majivu🤣🤣🤣Yenyewe yanafata candle sticks tu😅😅😅
Alivoikuza acc yake toka 300 mpk 1000,angeenda nayo taratibu hivo hivoKinachoponza kwenye forex ni tamaa ya pesa ya haraka.
Watu wana force soko hata kama haliko vizuri anaingia.
Pili kutumia lot size kubwa
Ingia UkraineNifundishe na mimi mkuu, nahitaji/napenda kujifunza trading.
Niya ninayo, mtaji (wa kuanzia) ninao. Niingie chimbo gani nipate starting point?
Robot ni biashara tu kaka.Dah wamekupiga dollar 5000 tayari duh!
Kumbe yale maroboti yanatafunaga hela mle[emoji23][emoji23][emoji23]
Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.
Umekata tamaa mapema sn,hkn biashara km forex mkuuHabari Wakuu,
Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.
Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa kubwa 1000 USD.
Pale ndipo balaa lilipoanza kwani kabla sijfunga na kufungua macho, week iliyopita siku ambayo sitaki kuikumbuka, pale nilipofunga na kufumba na kufumbua macho, trade ilienda tofauti kabisa na kufuta balance yangu yote.
Hapa nilipo sina hamu tena ya hii kitu
Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.
Mmc
Consistency,mtu anashindwa kukomaa na strategy inayompa hela,akiona loss kidg anachange strategy,hapo ndo maumivu.Kinachoponza kwenye forex ni tamaa ya pesa ya haraka.
Watu wana force soko hata kama haliko vizuri anaingia.
Pili kutumia lot size kubwa
Uko sahihi...Consistency,mtu anashindwa kukomaa na strategy inayompa hela,akiona loss kidg anachange strategy,hapo ndo maumivu.
Mkifungua page maalum nita share na kubadilishana uzoefu.Yenyewe yanafata candle sticks tu[emoji28][emoji28][emoji28]
Tufungue telegram pageMkifungua page maalum nita share na kubadilishana uzoefu.