Sasa the difficult part ni huyu mwalimu,the trade ya kubuy lazima ishuke kwanza,na you cant put stop loss untill you know itashuka mpaka wapi,thats where the challenge comes in.Cardinal rule forex trading- never ever risk more than 2% of equity. Stop loss lazima.
Kwa kweli na mie naona,hii kitu ni kama ina addictions mbaya kuliko HeroinRudia tena n tena mpk damu ikutoke maskioni
Place stop loss 3 to 5 pips below neighborhood low .Given stop loss ,calculate lot size for 2% equity loss in the event price hits stop loss.Sasa the difficult part ni huyu mwalimu,the trade ya kubuy lazima ishuke kwanza,na you cant put stop loss untill you know itashuka mpaka wapi,thats where the challenge comes in.
Forex ni kna utofauti mdogo sana na mchezo wa bahati nasibu,Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex,
kwa hio ukaunga msafara 😂😂na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade
imeisha hio, tamaa ndio iliyokuponza jombaaniliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.
Chukua FTMO challenge wanatoa mtaji hadi $200,000(400+millions za kibongo)Ningepata mtu anipatie milioni 10 niwekeze kwenye haya makitu ingekuwa poa sana maana naona kwa sasa nimeiva hasa
Thanks for the advice,I needed some solid punchlines ili nipatie hasira na focus at same timeForex is not a holy grail! It's a profession like any other kutokana na maelezo yako inaonekana bado hauna muda mrefu kwenye game,forex ni biashara na ni pana,forex inahitaji KNOWLEDGE which covers all aspects of trading,kuanzia technical analysis, fundamentals trading psychology, risk management,strategy inayokufaa,risk management na mengine na inahitaji kuwekeza MUDA wako mwingi in trading, watu wanapozungua ni kuona kama forex ni sehem ya kutajirika haraka,which is wrong ukiingia kwenye hii game inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu kwenye kipindi cha kujifunza the maana the pain of losing money is tough,kufanikiwa kwenye hii industry inatokana na mtu na mtu the minimum time mtu anaweza tumia kumaster trading ni kama miezi 6(Achana na kuwa profitable) hiyo ni safari nyingine but muhimu ni Ku master the art of trading the rest will come,so invest kwenye knowledge kwanza find your suitable strategy well kabla sijasahau unaweza ukatafuta mentor atakae kuongoza in trading (angalia usije kupigwa mentors wengi saiv ni scammers) tafuta mentor Legit wapo hapa bongo wengi tu, na Kama umechoma account moja tu unakuja kuandika uzi huku basi forex haikufai this industry requires emotional toughness.Forex is not for the weak,kila la kheri mkuu
ushauri wa kwanza kabisa tunaotoa hapa JF kwa matukio kama haya ni kukwambia komaa na shughuli iliyokupatia dola 300 ulioanza nayoNaombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.