driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 May 11, 2012 #21 hii nimeipenda sana inaelekea watanzania tumechoshwa na huko nchi yetu inapoelekea...! mabadiliko ya lazima ni lazima yafanywe ili kuirudisha nchi kwenye mikono ya watanzania maana imesha toweka kabisaaaaa
hii nimeipenda sana inaelekea watanzania tumechoshwa na huko nchi yetu inapoelekea...! mabadiliko ya lazima ni lazima yafanywe ili kuirudisha nchi kwenye mikono ya watanzania maana imesha toweka kabisaaaaa
M mkizungo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 246 Reaction score 55 May 20, 2012 #22 nani ametuloga,,,,,,,:spy:
Anko Sam JF-Expert Member Joined Jun 30, 2010 Posts 3,254 Reaction score 907 May 20, 2012 #23 Dotworld said: Nimependa sandals alizovaa Click to expand... Amevaa slippers zilizotengenezwa na wamaasai, huyu alikuwa ana sema anachokiamini-wa sasa hivi ni wasanii tu!
Dotworld said: Nimependa sandals alizovaa Click to expand... Amevaa slippers zilizotengenezwa na wamaasai, huyu alikuwa ana sema anachokiamini-wa sasa hivi ni wasanii tu!