Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,173
- 26,910
Mark anakuja vizuri sana miaka kumi ijayo anaweza akawa anachuana na billMmh!! Carlos slim kapitwa na mark?
Mark anakuja vizuri sana miaka kumi ijayo anaweza akawa anachuana na billMmh!! Carlos slim kapitwa na mark?
Ahhahhh nusu akanunua laptop Leo ni kampun inayoajir mamilion ya vijana Ahhh I'm humbled you know

Mark uwekezaji wake mkubwa sana has baada ya kuzinunua whatsapp na instagram na bado anawekeza yaaani jamaa ndo future front runner kwenye hiyo list bill akizinguaKasi ya Mark inatisha, jamani Carlos slim Helu kadrop sana.
Mark uwekezaji wake mkubwa sana has baada ya kuzinunua whatsapp na instagram na bado anawekeza yaaani jamaa ndo future front runner kwenye hiyo list bill akizingua
Ha ha ha nani mkuu? Bashite?mbona hawajamwandika le bilionea akili kubwaz tambitambi
Kila mtu duniani anaajiliwa iwe direct au indirect watumiaji wa bidhaa na huduma zao ndio waajili wao leo hii nisipotumia watsupp huyo mark hata ingiza hata shs 1Chakushangaza kati ya hao hakuna aliyewahi kuajiriwa