For your photocopier,printer,scanner and PC maintanance and services

For your photocopier,printer,scanner and PC maintanance and services

Afrotech

Member
Joined
Jan 15, 2019
Posts
10
Reaction score
2
AFRO TECH office solution
tunatoa huduma za ufundi(repair) na maboresho(maintenance) ya vifaa vya maofisini na stationeries. Vilevile tunafanya network configuration kwenye photocopier pamoja na printer.
Hivyo tunawakaribisha tuwahudumie kwa mashine na vifaa vifuatavyo:
photocopier aina zote
printer aina zote
scanner aina zote
laptop na desktop aina zote


Vilevile tunasambaza spairs na materials za photocopier printer na PC

tutakufata popote ulipo kwa matatizo ya mashine za ofisini

Tunapatikana k/koo mtaa wa uhuru
kwa mawasiliano tupigie
0766533039
Karibu tukuhudumie
IMG_20190115_194059_666.JPG
 
Mnatengeneza Printer za Epson?? kuanzia L 805 na kuendelea!
 
Mi nina hp officejet 7510 imeishiwa wino alaf haiprint ikiwa na hali hyo ata kama nyingine zimejaa... Naiuza bei ya hasara 100k tu.... Kama pia mnanunua printer
 
Back
Top Bottom