Eti VETA mweeeeee, alafu unalipwa sh ngapi? kwa mwezi. Mawazo ya kimaskini ndio hayo.Mimi naoga wajanja wanaokwenda kusoma DIT au Veta.
Naamini haya maisha hapa yalipo ujuzi ndio kitu muhimu kuliko kuwa na vyeti vimeandikwa degree na haijusaidii kitu, ni ujinga fulani tu kuwaza kazi za kuvaa tai.
Maskini ni wewe unayekwenda kupata skills Veta halafu unawaza kuajiliwa.Eti VETA mweeeeee, alafu unalipwa sh ngapi? kwa mwezi. Mawazo ya kimaskini ndio hayo.
Tatizo uelewa wako unaishia level ya VETA.Maskini ni wewe unayekwenda kupata skills Veta halafu unawaza kuajiliwa.
Huna akili.
Kwanza unaelewa maana ya University?Tatizo uelewa wako unaishia level ya VETA.
Kwani hizo skills huwezi kuzipatia chuo kikuu? Chuo kikuu maabara na workshop hazipo?
Kuna mwingine anataka kusomea mambo ya uongozi, hayo mambo yapo VETA? Tatizo mnadanganywa na wanasiasa. Kwanini usiwashauri viongozi wako wayabadili mazingira ya vyuo vikuu yawe kama VETA, ili wanaosomea huko wajifunze kujiajiri hukohuko.
Tatizo uelewa wako unaishia level ya VETA sasa unatafuta definition ya University. Nenda google utaipata.Kwanza unaelewa maana ya University?
Isijekuwa napotezewa muda na mtu hata hajui University ni nini.
Ahahaha kama wewe degree yako haikusaidii bas jua ni ww tuulipoteza mda chuo; au ndo nyinyi mlienda kusoma degree za fine artsMimi naoga wajanja wanaokwenda kusoma DIT au Veta.
Naamini haya maisha hapa yalipo ujuzi ndio kitu muhimu kuliko kuwa na vyeti vimeandikwa degree na haijusaidii kitu, ni ujinga fulani tu kuwaza kazi za kuvaa tai.
Nimekuuliza unaelewa maana ya University?Ahahaha kama wewe degree yako haikusaidii bas jua ni ww tuulipoteza mda chuo; au ndo nyinyi mlienda kusoma degree za fine arts
University kwa kirundi ni kamenuzaKwanza unaelewa maana ya University?
Isijekuwa napotezewa muda na mtu hata hajui University ni nini.
Thanks ila sio fx ya branding then nipende kukuomba unielezee kuhusu forex kidgcreedfx ushakimbia uzi lakini ukiona comment hii kwanza acha mara moja kujiita jina lolote na kumalizia fx mwishoni. Forex haitokusaidia lolote kimaisha, labda kama ndoto zako ni kufirisika hapo itakufanikisha. Kila mtu anayeanza chuo anajikuta anajua Forex, wengine tuliacha mwaka wa kwanza wengine waliacha mwaka wa pili na wengine walidisco nayo. Labda uamue kuwa tapeli kama hao influencers wanaowatapeli
Forex is not for everyone, elewa hivyo save ur energy.Thanks ila sio fx ya branding then nipende kukuomba unielezee kuhusu forex kidg
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Ahahaha kama wewe degree yako haikusaidii bas jua ni ww tuulipoteza mda chuo; au ndo nyinyi mlienda kusoma degree za fine arts
Hapana sijui mkuuu niambie weweNimekuuliza unaelewa maana ya University?
Usirukeruke kama bata bukini, jibu swali.
Yeah nilishalijua hili kitmboForex is not for everyone, elewa hivyo save ur energy.
Yaani wewe ndiye mwenye mawazo ya kimasikini sema hujioni. Na ndio Mana Taifa litazidi kuzalisha waoga na masikini.Eti VETA mweeeeee, alafu unalipwa sh ngapi? kwa mwezi. Mawazo ya kimaskini ndio hayo.
Yaani mawazo ya KIVETA ni gereji tu. Wenzako tunawaza kufungua makampuni makubwa wewe unawaza duka la spare za pikipiki mweeeee. Ila watu wa VETA, kweli wanamawazo ya level ya VETA.Yaani wewe ndiye mwenye mawazo ya kimasikini sema hujioni. Na ndio Mana Taifa litazidi kuzalisha waoga na masikini.
Unapenda security,
Ujue mtu akisoma veta kitu anachokipenda anaweza akakaa gereji akafungua yake,later duka la spear na gereji anayo ikamlipa mshahara mkubwa kuliko huo unalipwa ukistaafu unaanza kuhaha.
Hali kadhalika fundi ujenzi Mara anakuwa na hardware yake.
Ila pia sio kosa lako it's nature of human being to be afraid of unknown, uncertainties and do some statistical probabilistic odds calculation risks.
We love deterministic life kuwa mwisho wa mwezi utalipwa Bei gani,jioni utakula Nini,muda fulani utafanya Nini.
Pia kuwa contRolled kinidhamu. Mtu anasoma mapishi anapiga vibarua anafungua restaurant yake ya maana.
We're poor not because of environments but because of our internal mind environment
Ulishapata ajira mkuu?Yaani mawazo ya KIVETA ni gereji tu. Wenzako tunawaza kufungua makampuni makubwa wewe unawaza duka la spare za pikipiki mweeeee. Ila watu wa VETA, kweli wanamawazo ya level ya VETA.