prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 190
Please enter at least one phone number below and check your preferred phone number | |||
Mobile Phone | |||
Alternate Phone |
Address line huwa natumia moja(kama ni ya Tanzania)-Je, ni lazima utumie address line zote?
Address line 1: P.O.Box 00000
Sidhani kama Tanzania tuna Zipcode (tusikie wanaJF wengine)
Level of spoken English - Inabidi ujaze kutokana na level yako kati ya hizo tatu in red...i.e. kama ni Fluent (Ufasaha) au hizo zingine mbili...
Kila la kheri!!
Lakini waweza pokea mawazo kidogo kutokana na picha uliyoweka. Watu wengine humu JF wana maadili yao na wasingependa kupoteza muda kumshauri mtu ambaye ana identity ambayo ina waelekeza moja kwa moja kujua mantle set-up yake ikoje.
Mimi nimekujibu kwamba jaribu 255 kwenye zip, maana nakupenda na ninakuheshimu maana wewe ni binadamu mwenzangu na mtanzania mwenzangu japo sura uliyoweka inatia kichefuchefu lakini sasa ntafanyaje kwani umekwisha umbwa na hupo duniani.
I was applying for sales job at South Africa, then i was required to fill certain form but i have problem on the following issue;
First Name: so i put my name here
Middle Initial:
Last Name: my last name here
Address Line 1: what do i put here
Address Line 2: and here what do i put?
Address Line 3: what do i put here?
City: Dar es salaam
zip code: what is the zip code of Dar es salaam
State: what do I put here?
country: Tanzania
How would you rate your level of spoken English?
1. Native
2. Fluent (clarification on this)
3. Basic (clarification on this)
4. Intermediate (clarification on this)
Please enter at least one phone number below and check your preferred phone number
Mobile Phone
Alternate Phone
places with red is where the problem i have!Thank you in advance!!!!!!
shukrani mkuu kitu kimetikiHatuna zip au post code. wengi huwa naona wanaweka 255. jaribu uone kama itakubali
Lakini waweza pokea mawazo kidogo kutokana na picha uliyoweka. Watu wengine humu JF wana maadili yao na wasingependa kupoteza muda kumshauri mtu ambaye ana identity ambayo ina waelekeza moja kwa moja kujua mantle set-up yake ikoje.
Mimi nimekujibu kwamba jaribu 255 kwenye zip, maana nakupenda na ninakuheshimu maana wewe ni binadamu mwenzangu na mtanzania mwenzangu japo sura uliyoweka inatia kichefuchefu lakini sasa ntafanyaje kwani umekwisha umbwa na hupo duniani.
Hapo kwenye, Address mara nyingi kwa kazi za nje wanataka physical address,
mfano: House Number: TNDL/MTG/3434
Street: Mwajuma Maandazi, Tandale kwa Mtogole
District: Kinondoni
Region/Municipal: Dar es salaam
Zip code na state huwa zinasumbua sana, lakini kama fomu inakulazimisha basi weka 255, na state pia kama inakusumbua basi weka Tanzania ama Dar es salaam
Hapo kwenye Lugha
Native-inamaanisha kuwa wewe umezaliwa kwenye hiyo lugha, yaani ni kama kusema mother language ni lugha yako ya asili
Fluent- ni kwa kwamba hauna matatizo yoyote na hiyo lugha, yaani unatiririka bila kuwa na kigugumizi chochote au kutafuta maneno
Basic: hii ni kwamba sio mzuri kwenye lugha na unajua baadhi ya maneno ya msingi tu, ni ngumu kuelewa na kueleweka
intemediate: ni kuwa hauko sawsawa kwenye hiyo Lugha, lakini unaweza kuelewa na kueleweka japo utakuwa na makosa ya hapa na pale, yaani hapa upo katikati ya basic na Fluent
ilikuwa siyo lazima ucomment ndugu, hujawahi kuambiwa kuuliza siyo ujinga!!!hao unaodhani wanajua kiingereza ingia google utakutana nao hawajuhi zip code ingawa wamezaliwa uzunguni, dont shows how afraid and fool u r!!!sorry no disrespect but just wonderingno disrespect but if you cant even fill out a simple form like the one above...how would you be able to complete deals in english as a sales person....just wondering no offence tho:thinking: