alma gemela JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 842 Reaction score 280 Feb 23, 2014 #41 Eiyer said: Nashukuru kwa kusikia Kama unavutiwa na mimi fuata ushauri wangu na utakuwa salama mrembo! Click to expand... Asante, nimeshaufata ushauri Ila umesema ukweli watu tunajenga picha kichwani tofauti na muhusika alivyo
Eiyer said: Nashukuru kwa kusikia Kama unavutiwa na mimi fuata ushauri wangu na utakuwa salama mrembo! Click to expand... Asante, nimeshaufata ushauri Ila umesema ukweli watu tunajenga picha kichwani tofauti na muhusika alivyo
Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,989 Reaction score 5,066 Feb 23, 2014 #42 Kuna MTU humu mi nimemzimikia ila duh!! Wacha tu ipo siku ntamlipukia PM! Ntakachokutana nacho sitamlaumu MTU.
Kuna MTU humu mi nimemzimikia ila duh!! Wacha tu ipo siku ntamlipukia PM! Ntakachokutana nacho sitamlaumu MTU.
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Feb 23, 2014 Thread starter #43 Zion Daughter said: Naunga mkono hoja.Mwenye masikio na asikie. Click to expand... Wasiposikia shauri yao Hujambo lakini binti sayuni?
Zion Daughter said: Naunga mkono hoja.Mwenye masikio na asikie. Click to expand... Wasiposikia shauri yao Hujambo lakini binti sayuni?
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Feb 23, 2014 #44 Eiyer said: Nilikushauri uibadili ukakana shauri yako Lakini kuwa makini nasikiaga eti kuna mabazazi humu Au si tuanze mimi na wewe.........?????lol!!!!!!!!!!! Click to expand... hahahahahahah weye tena useme unausafiri gani kunisuprise na guta not acceptable
Eiyer said: Nilikushauri uibadili ukakana shauri yako Lakini kuwa makini nasikiaga eti kuna mabazazi humu Au si tuanze mimi na wewe.........?????lol!!!!!!!!!!! Click to expand... hahahahahahah weye tena useme unausafiri gani kunisuprise na guta not acceptable
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Feb 23, 2014 Thread starter #45 alma gemela said: Asante, nimeshaufata ushauri Ila umesema ukweli watu tunajenga picha kichwani tofauti na muhusika alivyo Click to expand... Safi sana mkuu Sasa anza kuwa makini kabisaaaa ili kuepusha mi siredi isiyohiyajika MMU!
alma gemela said: Asante, nimeshaufata ushauri Ila umesema ukweli watu tunajenga picha kichwani tofauti na muhusika alivyo Click to expand... Safi sana mkuu Sasa anza kuwa makini kabisaaaa ili kuepusha mi siredi isiyohiyajika MMU!
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Feb 23, 2014 Thread starter #46 Nyalotsi said: Kuna MTU humu mi nimemzimikia ila duh!! Wacha tu ipo siku ntamlipukia PM! Ntakachokutana nacho sitamlaumu MTU. Click to expand... Nimejikuta nacheka sana Asante sana mkuu kwa kunifurahisha jioni hii!
Nyalotsi said: Kuna MTU humu mi nimemzimikia ila duh!! Wacha tu ipo siku ntamlipukia PM! Ntakachokutana nacho sitamlaumu MTU. Click to expand... Nimejikuta nacheka sana Asante sana mkuu kwa kunifurahisha jioni hii!
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Feb 23, 2014 Thread starter #47 miss neddy said: hahahahahahah weye tena useme unausafiri gani kunisuprise na guta not acceptable Click to expand... Usafiri wangu miguu tu Hutaki potelea hukohuko ...!
miss neddy said: hahahahahahah weye tena useme unausafiri gani kunisuprise na guta not acceptable Click to expand... Usafiri wangu miguu tu Hutaki potelea hukohuko ...!
tian JF-Expert Member Joined Jul 27, 2007 Posts 1,770 Reaction score 538 Feb 23, 2014 #48 Eiyer said: Unapenda kindege cha kuja kukuanzishia thread hapa kuwa !tian ana uso sijui kama anapuliza moto au sijui miguu kama mshumaa???........lol!!!!!!!!!!!!!!! Click to expand... Mkuu Eiyer utafikiri umeniona live, Daah yani kwa kweli nisijepotezewa mood humu bureee
Eiyer said: Unapenda kindege cha kuja kukuanzishia thread hapa kuwa !tian ana uso sijui kama anapuliza moto au sijui miguu kama mshumaa???........lol!!!!!!!!!!!!!!! Click to expand... Mkuu Eiyer utafikiri umeniona live, Daah yani kwa kweli nisijepotezewa mood humu bureee
tian JF-Expert Member Joined Jul 27, 2007 Posts 1,770 Reaction score 538 Feb 23, 2014 #49 Munkari said: mrushie mchele!! Click to expand... Nlishaanza kikirushie mchele karibia kukinasa sasa Eiyer amekitorosha!! Ngoja ntafute njia mbadala ya kukinasa aseeh, Maana kikisoma ni thiredii kwisha habari yangu!!
Munkari said: mrushie mchele!! Click to expand... Nlishaanza kikirushie mchele karibia kukinasa sasa Eiyer amekitorosha!! Ngoja ntafute njia mbadala ya kukinasa aseeh, Maana kikisoma ni thiredii kwisha habari yangu!!
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Feb 23, 2014 Thread starter #50 tian said: Mkuu Eiyer utafikiri umeniona live, Daah yani kwa kweli nisijepotezewa mood humu bureee Click to expand... But i like ladies with that type ....lol!!!!!!!
tian said: Mkuu Eiyer utafikiri umeniona live, Daah yani kwa kweli nisijepotezewa mood humu bureee Click to expand... But i like ladies with that type ....lol!!!!!!!
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Feb 23, 2014 Thread starter #51 tian said: Nlishaanza kikirushie mchele karibia kukinasa sasa Eiyer amekitorosha!! Ngoja ntafute njia mbadala ya kukinasa aseeh, Maana kikisoma ni thiredii kwisha habari yangu!! Click to expand... Lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
tian said: Nlishaanza kikirushie mchele karibia kukinasa sasa Eiyer amekitorosha!! Ngoja ntafute njia mbadala ya kukinasa aseeh, Maana kikisoma ni thiredii kwisha habari yangu!! Click to expand... Lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,179 Reaction score 34,436 Feb 23, 2014 #52 Hmmmmmm.
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 14,563 Reaction score 22,839 Feb 23, 2014 #53 Eiyer said: Mkuu kwani wewe sio mtu? Click to expand... Ni mtu mkuu ila huyo Valentina tayari yuko covered
Eiyer said: Mkuu kwani wewe sio mtu? Click to expand... Ni mtu mkuu ila huyo Valentina tayari yuko covered
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Feb 23, 2014 #54 Eiyer said: Usafiri wangu miguu tu Hutaki potelea hukohuko ...! Click to expand... hahahahahaha sasa baba paroko mi navaaga mchuchumio kama wa lady gaga unataka kunipigisha ruti za miguu tena
Eiyer said: Usafiri wangu miguu tu Hutaki potelea hukohuko ...! Click to expand... hahahahahaha sasa baba paroko mi navaaga mchuchumio kama wa lady gaga unataka kunipigisha ruti za miguu tena
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,602 Reaction score 119,755 Feb 23, 2014 #55 Nimejifunza na sitorudia tena...!!!! Nasema sitokaa nirudie huu upuuzi tena....!!!!
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Feb 23, 2014 #56 Eli79 said: Nimejifunza na sitorudia tena...!!!! Nasema sitokaa nirudie huu upuuzi tena....!!!! Click to expand... mmmh! Yalikukuta?
Eli79 said: Nimejifunza na sitorudia tena...!!!! Nasema sitokaa nirudie huu upuuzi tena....!!!! Click to expand... mmmh! Yalikukuta?
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Feb 23, 2014 Thread starter #57 Karucee said: Hmmmmmm. Click to expand... Nyie mnaoguna namna hii dawa yenu ni viboko tu!
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Feb 23, 2014 Thread starter #58 Daudi1 said: Ni mtu mkuu ila huyo Valentina tayari yuko covered Click to expand... Mkuu unajua kuna tofauti kati ya Valentina na 'Valentina' ? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Daudi1 said: Ni mtu mkuu ila huyo Valentina tayari yuko covered Click to expand... Mkuu unajua kuna tofauti kati ya Valentina na 'Valentina' ?
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Feb 23, 2014 Thread starter #59 miss neddy said: hahahahahaha sasa baba paroko mi navaaga mchuchumio kama wa lady gaga unataka kunipigisha ruti za miguu tena Click to expand... Kama kutembea tu umeshindwa utaweza kulala kwenye ngozi ya ng'ombe kweli au tunadanganyana?
miss neddy said: hahahahahaha sasa baba paroko mi navaaga mchuchumio kama wa lady gaga unataka kunipigisha ruti za miguu tena Click to expand... Kama kutembea tu umeshindwa utaweza kulala kwenye ngozi ya ng'ombe kweli au tunadanganyana?
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 14,563 Reaction score 22,839 Feb 23, 2014 #60 Eiyer said: Mkuu unajua kuna tofauti kati ya Valentina na 'Valentina' ? Click to expand... Hahahahahaa sawa mkuu nimekupata tunayemuongelea hapa ni 'valentina'
Eiyer said: Mkuu unajua kuna tofauti kati ya Valentina na 'Valentina' ? Click to expand... Hahahahahaa sawa mkuu nimekupata tunayemuongelea hapa ni 'valentina'