Hahahahaha sasa si mpaka watu wakwambieee , mbona wewe unajifagilia mwenyewe tutaaminije weka picha.
Stay blessed.
Hahahahahaah haya mkuu wewe ni mpole usijali. Tunataka kufanya maandamo kwa waanzilishi wa jeiefu kupinga watu wanaotumia majina fake na wanaotumia picha fake nafikiri hii itasaidia ili kama mtu hataki kuweka uhalisia wake basi watuachie jukwaa letu tulio wakweli. Piga vita bidhaa fake kwa nguvu zako zote.Madam nitake radhi tasavaliiiiiiiiiiiiii
Nimejifagilia wapi banaaaaaaaa???????
Mi nimetoa mfano tu
Stay blessed too Madam!
Hahahahahaah haya mkuu wewe ni mpole usijali. Tunataka kufanya maandamo kwa waanzilishi wa jeiefu kupinga watu wanaotumia majina fake na wanaotumia picha fake nafikiri hii itasaidia ili kama mtu hataki kuweka uhalisia wake basi watuachie jukwaa letu tulio wakweli. Piga vita bidhaa fake kwa nguvu zako zote.
Madrid wako kileleni.
Nimefanyaje tena mkuu!!!!
Naona barca wanapigwa tu....barca chali...
Miguu yako .....!!!!!!!!!!
Kama ulikuwepo!
Barca ndo tumeshawaacha, watasubiri sana.
Wewe ukisema hivyo mi nitasemaje mwayegooo?
Hahahahahahahaha hakianane wazazi walizaa!!! Lol
Me nimevutia na avatar yako tinna cute halafu wenye akili kama zako nawezana nao!!