IrDA
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 745
- 361
Pichani ni Iton Mini Bluetooth keyboard inayouzwa 40,000 tuu.
Inakuletea uwezo wa kucontrol kifaa chako chenye bluetooth ukiwa mbali hadi mita 10.
Keyboard hii ina features zifuatazo:
- Ni nyepesi,uzito wake ni mdogo kuliko hata uzito wa smartphones mbalimbali.
- Ni nyembamba,unaweza hata kuiweka mfukoni.
- Inasupport aina mbalimbali ya vifaa vyenye bluetooth kama;
- Simu(Android,Windows Phones,Nokia mobile zenye Symbian OS,Iphones)
- Computer
- PS3
- Tablet(Apple,Samsung na nyinginezo)
- PC(Operating system zote)
- Ina rechargable battery(inakaa na charge masaa 60),hivyo waweza kuitumia ukiwa mahali popote.
- inatumia standard micro usb cable kwenye kucharge(sawa na normal smartphones).
- Inauwezo wa kufanya kazi hata mita 10 mbali na kifaa chako.
- Ina functions karibu zote za standard keyboard.
- Ina hotkeys za kucontrol media applications kama katika kupause,play music katika kifaa chako.
- Keyboard hii itawafaa sana wacheza game za computer ambazo gamepad za kawaida hazikidhi mahitaji mfano games kama GTA san andreas,kwani haulazimiki tena kukaa karibu na PC yako.
- Itafaa pia pale unapotumia pc yako kufanya Presentations kwenye projector,inakupa uwezo wa kuicontrol pc yako ukiwa mbali.
