FOR SALE - AMAZON KINDLE (3G + WI-FI) + Leather Cover with Light

Mgombezi

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
610
178
Wana Jamii!

Ninauza Amazon Kindle (book reader) pamoja na Leather Cover yake ambayo ina taa kwa ajili ya kusomea katika giza.

kindle.jpg
Black Leather Cover with Light
kindle3.jpg

Bei = USD 320

Kwa anayehitaji, unaweza kuni-PM.
 
Duh! Ndugu mbona ghali hivyo? Amazon wenyewe wanauza less than 200 USD. Hata ukiweka gharama za kusafirisha haifiki huko. Halafu pia ukumbuke watumiaji na matumizi yake machache.
 
Duh! Ndugu mbona ghali hivyo? Amazon wenyewe wanauza less than 200 USD. Hata ukiweka gharama za kusafirisha haifiki huko. Halafu pia ukumbuke watumiaji na matumizi yake machache.

Amazon wanauza: Kindle = USD 189 + Leather Cover with light = USD 59.99 = USD 248.99

Hivyo basi USD 71.01 = shipping cost + profit
 
Duh! Ndugu mbona ghali hivyo? Amazon wenyewe wanauza less than 200 USD. Hata ukiweka gharama za kusafirisha haifiki huko. Halafu pia ukumbuke watumiaji na matumizi yake machache.

Kwa lugha nyingine: WATANZANIA TU WAVIVU WA KUSOMA VITABU! LOL.wauza magazeti na vitabu bado wamebezi kuuza hadi kopi, :bored:.
 
Hivi hiki kifaa kinaeza kutumika bongo kwa maana ya kununua vitabu? mashaka yangu sie watumiaji tusije tukabaki na kitu obsolete. anyone?
 
Hivi hiki kifaa kinaeza kutumika bongo kwa maana ya kununua vitabu? mashaka yangu sie watumiaji tusije tukabaki na kitu obsolete. anyone?
Mzee hii kitu ina 3g na wi-fi: kwa hiyo unaweza kuwa umetulia sehem yenye wireless unakunywa kahawa baridi na kushusha vitabu unavyotaka (kama una akaunti ya paypal) bila wasiwasi wowote.
 
well, ni nzuri.. i cant offer no bid `cause am not so into reading books but napendelea zaidi articles than story books
 
Mzee hii kitu ina 3g na wi-fi: kwa hiyo unaweza kuwa umetulia sehem yenye wireless unakunywa kahawa baridi na kushusha vitabu unavyotaka (kama una akaunti ya paypal) bila wasiwasi wowote.

Sikweli kwamba lazima uwe na paypal..mbona mie naitumia na account yangu ya amazon inachajiwa directly kutoka kwene credit card? Tatizo langu ukiwa bongo je waeza kununua vitabu au ndo inakuwa samaki bila maji?
 
Jaribu kuangalia katika website ya Amazon hiyo 3g kama inatumika aTanzania. Kama inatumika, basi unaweza kudownload vitabu. Mimi nina kindle na cover ya namna hiyo, kwa kweli naifurahia sana, nasoma kia siku. Vilevile unaweza kudownload vitabu vya bure. Kwa mpenzi wa kusoma, ni kifaa kizuri.

Sent from my Apad using Tapatalk.
 
Mzee hii kitu ina 3g na wi-fi: kwa hiyo unaweza kuwa umetulia sehem yenye wireless unakunywa kahawa baridi na kushusha vitabu unavyotaka (kama una akaunti ya paypal) bila wasiwasi wowote.
sasa akaunti ya Paypal wapi na wapi TZ ndio aliyosema Abudulhalim,vitu vingine huko bongo ni ukivileta ni bora uvipeleke jumba la Makumbusho kwani sidhani kama vinaweza kutumika kwa lengo lililokusudiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom