Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,034
- 6,038
Nilidhani hii ya watu 8 ndio sahihiah kuna gari ilifail brake at the same time kuna gari ilikuwa ina cross barabara ili ikapaki...sasa zikagongana na zikapaa mpk pemben ambako ziliwaangukia watazamaji waliokuwa wamechill..
almost 8 people wamekufa but others wanaendelea vzr.. ni vitu vya kawaid ktk jamii ya motorsports RIDE OR DIE.