Mi bado nawazaWaliokumiss namie nimo!
Alaaa!
Mi bado nawaza
Ukiwazacho ?
Kopi: Nivea
Utakaa sana! Nipo na wife vizuri sana na ndoa imeimarika sana kipindi hiki tunachomsibiri kijacho. We kalaghabaho!!
Kopi: Ruttashobolwa.........unalo!
we mzee unanitafuta
kwani kummiss mtu dhambi??
hatuachani ng'ooooo!!!