Mnaotaka KUWEKA PICHA KATIKA THREAD FUATENI MAELEKEZO HAYA,
KWANZA TAFUTA LINK YA HIYO PICHA THENI FANYA HIVI
[ img ]
HAPA WEKA IMAGE LINK[/img] KUMBUKA KUTOLUKA NAFASI HAPO KWENYE =
Mfano: image link yangu ni
http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/211187_135522666523853_7224822_n.jpg
so itakua hivi[ img ]
http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/211187_135522666523853_7224822_n.jpg[/img]
sasa wewe usiluke nafasi humo ndani ya mabano KAMA MIMI NISINGE LUKA INGE ONEKANA HIVI
JARIBU ALAF ULETE FEEDBACK
UKISHINDWA USISITE KUULIZA