Kwenye simu kuna haya mabano
[ ] na hiki kimkato / hivi ndiyo unavitumia kutengeneza unachotaka
Ili upate bold code yake ni hii
"[B ] [/B ]" utaiandika bila funga na fungua semi na pia mabano ya mbele yasiachane. Nisipofanya hivyo hapo patakua blank.
Katikati ya hiyo code utakapoweka maneno yako ndiyo yatatokea huku yamekua bolded
Mfano
[B ]Mfano [/B ]
Mabano ya mbele yasiwe na space.