Ukiifungua forum mfano chit chat utakuta menu hii ndani,chagua(click) hapo post new thread
Ndani utakuta menu hii,andika title kisha teremka chini mwaga ubuyu ulioshiba na kukorea rangi na viungo vyake
Ukimaliza shuka chini utakuta menu hii so ukitaka kuweka na ka picha click upload a file,usipotaka kuweka picha just click create thread utakua umefanikiwa kuanzisha thread yako nzuri kabisa
Salaam mkuu Joseverest
Husika na mada tajwa hapo juu
Nielekeze mkuu namna ya kubold maneno asee nakuonaga wee mtaalam Sana wa kutupia comments za kubold
Ni hayo Tu mkuu!!