Hii kitu inachekesha sana inakuwa kama watu wanaongea kwenye simu kisha mmoja anamwambia mwenzake nataka uninunulie viatu kama hivi nilivyovaa wakati jamaa amwoni nasema hivi kwa sababu ukifanikiwa kutumia hiyo code aitokei ulivyo iandika ila inatokea kile kilicho badilika tu