E enstein1 Member Joined Jul 14, 2009 Posts 68 Reaction score 29 Nov 17, 2012 #1 Kwa wale wanotaka kufanya ujasiliamali kwenye biashara za kusaga semba, kutengeneza juisi za matunda, na aina mbali za mashine tafadhali fungua kiambatanisho, Attachments SIDO TDC MOSHI 1.pdf SIDO TDC MOSHI 1.pdf 134.4 KB · Views: 201 SIDO TDC MOSHI 2.pdf SIDO TDC MOSHI 2.pdf 119.9 KB · Views: 97
Kwa wale wanotaka kufanya ujasiliamali kwenye biashara za kusaga semba, kutengeneza juisi za matunda, na aina mbali za mashine tafadhali fungua kiambatanisho,
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,085 Reaction score 12,685 Nov 17, 2012 #2 Viambatanisho havisomeki mkuu,
marion09 Member Joined Sep 26, 2012 Posts 81 Reaction score 66 Nov 17, 2012 #3 Mkuu hizo PDF files hazisomeki kabisa
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,373 Reaction score 3,586 Nov 18, 2012 #4 kapotea katuachia ushuzi
E enstein1 Member Joined Jul 14, 2009 Posts 68 Reaction score 29 Nov 19, 2012 Thread starter #5 TANMO said: Viambatanisho havisomeki mkuu, Click to expand... Poleni kwa usumbufu wakuu!! Naambatanisha file jingine lenye picha zaidi kuliko maelezo ya mashine hizo! Attachments TDC Moshi machines P.pdf TDC Moshi machines P.pdf 4 MB · Views: 574
TANMO said: Viambatanisho havisomeki mkuu, Click to expand... Poleni kwa usumbufu wakuu!! Naambatanisha file jingine lenye picha zaidi kuliko maelezo ya mashine hizo!
M Mama Joe JF-Expert Member Joined Mar 30, 2009 Posts 1,504 Reaction score 851 Nov 19, 2012 #6 enstein1 said: Poleni kwa usumbufu wakuu!! Naambatanisha file jingine lenye picha zaidi kuliko maelezo ya mashine hizo! Click to expand... Asante unaonjae ungetuwekea bei ili tulinganishe na SIDO Dar, BICCO na wengine wako Morogoro.
enstein1 said: Poleni kwa usumbufu wakuu!! Naambatanisha file jingine lenye picha zaidi kuliko maelezo ya mashine hizo! Click to expand... Asante unaonjae ungetuwekea bei ili tulinganishe na SIDO Dar, BICCO na wengine wako Morogoro.
marion09 Member Joined Sep 26, 2012 Posts 81 Reaction score 66 Nov 19, 2012 #7 Mama Joe said: Asante unaonjae ungetuwekea bei ili tulinganishe na SIDO Dar, BICCO na wengine wako Morogoro. Click to expand... kabisa....Binafsi ningependa kufahamu hasa hiyo fruit pulper na ya kutengenezea Chaki.
Mama Joe said: Asante unaonjae ungetuwekea bei ili tulinganishe na SIDO Dar, BICCO na wengine wako Morogoro. Click to expand... kabisa....Binafsi ningependa kufahamu hasa hiyo fruit pulper na ya kutengenezea Chaki.