Football match zilizowahirudiwa kwa makosa ya mwamuzi

Magane

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
202
57
Wanajamii forum, naomba msaada ni mechi gani katika historia ya mchezo huu wa mpira wa miguu ndani ya nchi yetu au nje ya nchi ambazo ziliwahi kurudiwa kutokana na makosa ya mwamuzi kufuatia moja ya timu kukata rufaa. Ningependa unapojibu ueleze timu husika,nchi,na lini (mwaka) mchezo ulichezwa. Asante
 
Ni Azam na Mtibwa sugar katika VPL msimu uliopita ambayo mwamuzi alimaliza mpira kabla ya muda kuisha hali ilipelekea mtibwa kukata rufaa na mechi ikarudiwa
 
Ni Azam na Mtibwa sugar katika VPL msimu uliopita ambayo mwamuzi alimaliza mpira kabla ya muda kuisha hali ilipelekea mtibwa kukata rufaa na mechi ikarudiwa
Asante kwa taarifa. Naomba matukio zaidi ndani na nje ya nchi.
 
Mechi hii haikupaswa kurudiwa kwa sababu tu Kanu amekosa kucheza fair play. Matokeo yalitakiwa kuheshimiwa, lakini Arsene Wenger hakujisikia vizuri kupata goli lisilo la jasho hivyo akaomba mechi irudiwe.
 
Asante kwa habari hiyo na tupate habari ya timu zilizowahi kukata rufaa kutokana na kufungwa goli lenye utata kutokana na mwamuzi kushindwa kuchezesha mchezo vizuri.
 
Nabwada FC dhidi ya Umoja FC Mkangala. Hii mechiilirudiwa baada ya mvua kunyesha sana uwanja ukajaa manaji nakummbuka ilikua mwaka 1982 na hizi zilikuwa timu za kijiji.Hakukua na rufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…