Tunapambana kulazimisha tuonekane tunapendwa na tunaungwa mkono.
We ulisikia wapi watu wanahamasishwa kushangilia rais akiwa anaingia? Kama mtu anapendwa si atashangiliwa kwa hiari?
Una uelewa finyu kichiziKama unaona hata huko walipoanzia hawana protocol za kazi basi wewe ni zwazwa la mwisho!,
Chadema Masalia -ChaummaImekua chauma hio ebu tutolee upuuzi huko.
wewe ndio zwazwa mkuu na hautaelewa ati!, hapa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaaUna uelewa finyu kichizi
Msururu wa magari umeutafsiri kwamba unasababishwa na protocol
Nimekwambia protocol zilipoanzia hawana huo upuuzi wa misururu ya magari namna hiyo japokuwa wanazifahamu sana protocol kuliko nyie
Majibu yako yanasadifu uelewa wako mdogo
Una uelewa finyu kichizi
Msururu wa magari umeutafsiri kwamba unasababishwa na protocol
Nimekwambia protocol zilipoanzia hawana huo upuuzi wa misururu ya magari namna hiyo japokuwa wanazifahamu sana protocol kuliko nyie
Majibu yako yanasadifu uelewa wako mdogo
Akili za namna hii ni takataka kwa TaifaImekua chauma hio ebu tutolee upuuzi huko.
Au hata kila mtu angezipakuwa mtanadoni kimya kimya wakazijaza kimya kimya wasingetiki October?Hivi wangeenda kuzibeba hizo karatasi kwa Land cruiser 2 au 5 na walinzi wao, kenge wasingetiki oktoberi?
Just curious tu wandugu, povu ruksa
Au hata kila mtu angezipakuwa mtanadoni kimya kimya wakazijaza kimya kimya wasingetiki October?
Sasa kama yeye ni raisi anagombea nini tena apa ni shit hole tu eti bunge limevunjwa raisi hajajivunja na mawaziri wapo ndo katiba inavosema.Mh! protocol za kazi zao unazijua au unafikiri taasisi ya urais inaendeshwa kama genge la mabodaboda!..😅
Wenye akili hatuna kazi kazi wanachukuwa machawa sasa watu wote wale wamekosa mawazo kama aya mkuu.Hivi wangeenda kuzibeba hizo karatasi kwa Land cruiser 2 au 5 na walinzi wao, kenge wasingetiki oktoberi?
Just curious tu wandugu, povu ruksa
Nimeamini lisu aliposema hakuna uchaguzi alikuwa sahihi Sasa ccm inashindana na nani? Kweli Tiss imeshuka viwango.
Kitendo tu cha kuruhusu mtu mke asiyekuwa na background ya elimu ama ufanisi ktk jambo lolote kuchukua fomu za urais kinatia kinyaa.lNdio maana tunasema bado sisi manyani tunaprogress kuwa binadamu kule baadaye! Tunajua kuzima tu mitandao kwa switch tulizowekewa na rostam
Kitendo tu cha kuruhusu mtu mke asiyekuwa na background ya elimu ama ufanisi ktk jambo lolote kuchukua fomu za urais kinatia kinyaa.l