Foleni za malori bado ni kikwazo kwa ufanisi daraja la Kigamboni

SUYA

Senior Member
Jun 24, 2009
131
21
Natokea Kigamboni malori yamepaki barabarani mengine mambovu kwa kweli hii bado ni changamoto kubwa kwa ufanisi wa hili daraja la Kigamboni.
 
Ni kweli....

Leo nilipita hiyo njia ya kuradini haifai

Malori yamepaki barabarani

Acha yanayotoka kule bandarini

Ni changamoto haswa
 
Back
Top Bottom