Hili janga la foleni kwenye jiji hili la maraha imekua too much sasa, takribani mwezi sasa naona foleni zimekua kero sasa, serikali inabid ichunguze swala hili maana si tu muda kupotea lakini pia serikali inakosa mapato mengi tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.