mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,070
- 3,792
Wadau huko mlipo tunaomba updates za watoto mnaowaona kwenye foleni za bvr wakali ama huku ninakoandikishwa naona kama watoto wa geti wamefunguliwa
hii nikweli mkuu imesababisha napanga foleni mara ya nne sasa japo ID nshapata
Wema ulimuona huko? Atakuwa kanunaje baada ya kukatwa!
nipe namba zake nikamtulize gheto
hahaha umefata watoto au kupiga kula
hii nikweli mkuu imesababisha napanga foleni mara ya nne sasa japo ID nshapata
Teh teh teh ufanye mambo sasa sio kuangalia tu
yani hadi hili zoezi linafikia ukingoni minatoka na mke zao bvr
Sinza nimepata namba ya simu toka kwa demu mmoja ktk foleni ya BVR, nilimwambia ikikaribia namba yake nitamtonya! Hiyo ilikuwa ijumaa, saa hizi tunachat na kuna kauelekeo nikatawanya miguu. Tena alikuwa mfungo wa ramadan, naona kalimbikiza kila kitu maana nimemlainisha na meseji na kuongea ktk simu sasa kafunguka balaa! Imenifanya niamini kuwa kumbe mademu wengi wanatembea na minyege sana barabarani.
Hii BVR waongeze tu muda watu tuneemeke.

Mie nmefurai kuona kuku wa kienyeji aisee vimetuliaaaaa yaan unaokota tu huku uswazi. Unajua ni labda ukutane nao ngomani au kwenye mikusanyiko kama ya BVR