Foleni ya mataa ya ubungo kutokea riverside

Foleni ya mataa ya ubungo kutokea riverside

ze big

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
382
Reaction score
351
Habarini wana jamvi. Mimi ni mmoja wa waathirika wakuu wa foleni ya ubungo kuanzia ricerside kwenda mataa kama unaelekea mlimani city. Napenda kusikia kutoka kwenu je ni kweli foleni hii ni kubwa kiasi cha kusababisha msongamano wa aina hii au ni wahusika kutoipa kipaumbele. Nimekaa dakika 40 mpaka sasa na si leo tu hii imekua kawaida kabisa karibia kila siku asubuhi mpaka saa 6 na jioni ndio usiseme
 
Mkuuu sii huko tuu hata hii morogoro road nayo foleni leo trafiki wamejaa hapa mataa nadhani kuna shughuli maalum sio kawaida!!!
 
Habarini wana jamvi. Mimi ni mmoja wa waathirika wakuu wa foleni ya ubungo kuanzia ricerside kwenda mataa kama unaelekea mlimani city. Napenda kusikia kutoka kwenu je ni kweli foleni hii ni kubwa kiasi cha kusababisha msongamano wa aina hii au ni wahusika kutoipa kipaumbele. Nimekaa dakika 40 mpaka sasa na si leo tu hii imekua kawaida kabisa karibia kila siku asubuhi mpaka saa 6 na jioni ndio usiseme
Hali hiyo ya foleni ndiyo imenikinaisha na kunikera kuteremka Dar !! (kweli foleni zipo miji mikubwa yote..ila ya Dar!!) bora huku kwetu....
 
Hali hiyo ya foleni ndiyo imenikinaisha na kunikera kuteremka Dar !! (kweli foleni zipo miji mikubwa yote..ila ya Dar!!) bora huku kwetu....
Mkuu wengine inatulazimu tu kutokana na hali ya maisha ila ingekua tonge linapatikana kirahisi pengine tungehama
 
Mimi huwa naamini kila siku kuwa trafiki(askari wa barabarani),ndio husababisha foleni.Yaani hawako fair kabisa;na ukitaka kugundua kuwa hawa jamaa wanasababisha foleni,bahatisha siku na mida hiyohiyo ya foleni upite wakati magari yanaongozwa na taa,yaani foleni zinatembea fasta.

Ushauri wangu:Waziache taa ziongoze magari na wao wawe pembeni tu ku-monitor madereva wanaovunja sheria za barabarani.Na ikitokea taa hazifanyi kazi basi wao ndio wasimame kuongoza magari.Na jambo lingine wazirekebishe hizo taa japo ziruhusu magari kwa muda wa japo dakika 5 au 7 kwa kila upande.
 
Back
Top Bottom