Mbunge wa Nyamagana kaamia Dar sasa nani anasikiliza kero zenu.amehamia Dar ukimwona mwambie
Mbunge wa Nyamagana kaamia Dar sasa nani anasikiliza kero zenu.
Huyo mama Hewa kama naye anakaa Dar basi Mwanza hakuna wabunge mimi sipo hapa kutetea CCM.Usinganganie Wenje tu kwani Maria Hewa yeye si mbunge wa mza wa kuambiwa? Tumia akiri ya shuleni usitumie akili ya ccm.
Mkuu jaribu kuwasiliana na Wenje atatue hizo kero si ndiyo mbunge wenu.

Mimi nafikiri tofauti kabisa, foreni ya mabatini inatokana na uwepo wa njia moja inayoingia na kutoka mjini hali inayopelekea kuwapo na foleni muda wote.Anglia hata wakati wa mvua kubwa magari hulazimika kusimama kusubiria maji yakatike kutiririka barabarani.
SULUHISHO LA FOLENI:
serikali ifikirie kuifungua/kujenga barabara mbadala itokayo MABATINI kupitia NYAMBITI hadi NYASAKA to buzuruga hii itapelekea kufunguka kwa miundo mbinu mingi na foleni ya kuingia na kutoka mini kupungua kwa 90%. Lakini kinachoendelea mabatini nikama kutibu tatizo la homa kwa kutumia panado badala ya dawa mahususi kwa kutibu malaria.

Barabara inayotakiwa kufunguliwa hapo ni ile ya nyakato mahina mpaka mkuyuni hapo watakua wamefanikiwa kupunguza magari kupita katikati ya mji.
Barabar zote kuingia mjini sasa ziwe ""double roads", asanteni