foleni ya leo bagamoyo road kiboko

foleni ya leo bagamoyo road kiboko

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
385
Reaction score
104
daaaah kwa watumiaji wa njia hii leo tunalo. foleni ya kufa mtu.
 
imeanzia mwenge kaka, mie nimetoka mwenge saa 3 ndo nafika bunju saa hz
 
imeanzia mwenge kaka, mie nimetoka mwenge saa 3 ndo nafika bunju saa hz, hope itakuwa imepungua
 
Watumiaji wa Mandela Road tulikiona cha moto juzi. Foleni ilianzia Matumbi hadi TAZARA, kontena lilikuwa limedondoka kwenye mataa. Aisee nilifika Banana saa tano usiku baada ya kutoka Ubungo saa moja jioni
 
kuna mlori wa mkaa umedondoka wenyewe mataa ya shekilango
 
Back
Top Bottom