Foleni ya kizembe Kimara mwisho

mamanalia

JF-Expert Member
Nov 7, 2009
668
250
Kutanua kumesababisha sasa magari hayatembei. Malori ni mengi sana. Midaladala ndo vinara wa fujo za kutanua.
 
Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
Izi akili za Wabongo wengind sijui hata zinamkosi gani!!!
...
Umeshasema kunamatengenezo ya barabara then unasema kuna Uzembe!
...
Embu kafanye meditation kwanza!
 
Carina

Senior Member
Jan 4, 2011
186
225
Kutanua kumesababisha sasa magari hayatembei. Malori ni mengi sana. Midaladala ndo vinara wa fujo za kutanua.

kuna watu wengine huwa wanajifanya wana haraka kuliko hao waliopo kwenye foleni, mi huwa wananikera kweli. Hivi wote tukiwa na haraka si patakuwa hapapitiki jamani???
 
mamanalia

JF-Expert Member
Nov 7, 2009
668
250
Izi akili za Wabongo wengind sijui hata zinamkosi gani!!!
...
Umeshasema kunamatengenezo ya barabara then unasema kuna Uzembe!
...
Embu kafanye meditation kwanza!

Low Thinking huh!!!! soma post vizuri kabla ya kubwabwaja.
 
samora10

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
7,538
2,000
Watu wengine wanakera sana tena sana... Ingekua kwa uwezo wangu no kutandika risasi tu! Watu mko kwenye foleni halafu jitu linatanua. Hivi wewe ndio una haraka kuliko wenzio au ndio ujanja maandazi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom