Nikuambie kitu. Miaka yote December ndio mwezi pekee ambao hauna foleni Dar.Always December is like this..
Dah, mambo ya uchumi wa kati hayoInaonekana mamachinga wamenunua magari...nipo nimeganda kwa foleni.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo wengine wako Dodoma sijui wakirudi itakuwajeTahadhari, kama hauna mishe ya muhimu ni vema ukatulia nyumbani maana njia karibu zote za city centre zimefunga.
OVA.
Ukiona foleni Dar December ujue Kuna polisi amevimbiwa rushwa.[emoji23]Nikuambie kitu. Miaka yote December ndio mwezi pekee ambao hauna foleni Dar.
Reason wachaga wengi wauza mitumba wanakua likizo lkn pia watu wengi wanakua likizo hii inajumuisha walimu na wanafunzi.
Ukiona foleni Dar December ujue Kuna polisi amevimbiwa rushwa.
Na huu ujenzi unaoendelea Kilwa road na hii ya Magomeni mpaka JKT acha kabisaKama ni hivi basi hii hali haizoeleki..
Pia nadhani imechangiwa kiasi kikubwa na viongozi waliofika kwajili ya ziara.
Team insomnia , bado mko kwenye foleni?Ukiona foleni Dar December ujue Kuna polisi amevimbiwa rushwa.[emoji23]
Ile flyover ya Tazara Ni ya kuwarahisishia watawala na wazungu kwenda na kurudi kutoka eapot.
Ni Kama Ile daraja ya agakhan Hadi Oysterbay. Ile Ni kuwarahisishia wakubwa waende town/eapot fasta na kurudi vile vile wasikutane na vibaka wa mwananyamala, mosko na kwingineko salenda bridge.
Kama wakubwa wanamjali mlalahoi, wanyanyue na wapanue jangwani.
Vile vile waboreshe mwendokasi.
CCM oiyee
Una maanisha nini mkuu?
Mambo yaliharibika zaidi baada ya ubunge kua nafasi ya uteuzi sio ya kuchaguliwa. Walioteuliwa Ni YES men and women, wakahongwa hela nyingi ili waitetee serikali iliyo wapa kulaOn point. Uko sawa, ila unamwambia nani sasa hivi akusikilize, maji, umeme, tozo, kodi, uchumi kila kitu kimewashinda.
Waliopo sasa hawajui hata maana ya serikali. Wizara ya mipango, fedha. Uchumi.
Sio kila mmoja ni mlevi na sio kila location ina bar ujueTeam insomnia , bado mko kwenye foleni?
Mimi foleni nimeipatia dawa yake. Popote itakaonikuta natafuta bar ya karibu, na paki mpaka nione imeisha kabisa.
Mwenye wasiwasi nampigia video call ili aione foleni.
Sio kila anaekwenda bar anakwenda kunywa pombe. Binafsi naendaka kula kongoro na kuangalia vile visungura vikirusha rusha mikia.Sio kila mmoja ni mlevi na sio kila location ina bar ujue