Inaonekana mamachinga wamenunua magari...nipo nimeganda kwa foleni.Tahadhari, kama hauna mishe ya muhimu ni vema ukatulia nyumbani maana njia karibu zote za city centre zimefunga.
OVA.
Hii nchi kwasasa inanipa vibe za 2005 hadi 2015. Naomba Mungu tu Madawa ya Kulevya na Ugaidi usije kwa kasi.Tahadhari, kama hauna mishe ya muhimu ni vema ukatulia nyumbani maana njia karibu zote za city centre zimefunga.
OVA.
Wee acha tu, sijawahi ona toka nizaliweTahadhari, kama hauna mishe ya muhimu ni vema ukatulia nyumbani maana njia karibu zote za city centre zimefunga.
OVA.
Unajifanya JK sio 😂😂Uchumi umekuwa ndio maana kuna foleni
Tahadhari, kama hauna mishe ya muhimu ni vema ukatulia nyumbani maana njia karibu zote za city centre zimefunga.
OVA.
Fly over ivuke mpaka TAZARAHivi Ile ya buguruni dawa yake nn? Leo imeanzia mbele tu pale ukimaliza external haufiki hata relini.....
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Always December is like this..Tahadhari, kama hauna mishe ya muhimu ni vema ukatulia nyumbani maana njia karibu zote za city centre zimefunga.
OVA.
Walalahoi Zama zenu zimepitaIle flyover ya Tazara Ni ya kuwarahisishia watawala na wazungu kwenda na kurudi kutoka eapot.
Ni Kama Ile daraja ya agakhan Hadi Oysterbay. Ile Ni kuwarahisishia wakubwa waende town/eapot fasta na kurudi vile vile wasikutane na vibaka wa mwananyamala, mosko na kwingineko salenda bridge.
Kama wakubwa wanamjali mlalahoi, wanyanyue na wapanue jangwani.
Vile vile waboreshe mwendokasi.
CCM oiyee
Mkuu kuna uwezekano leo record imevunjwa. Sijawahi ona foreni ndefu hivi aisee. Maroli shikamoo.Tarehe 3/12/2011 foleni iliunga toka Ubungo mataa mpaka Mbezi Luis. Siku hiisitaisahau maana Mr. Ebbo alifariki kesho yake. Lkn pia ile kwaya maarufu ya wanyarwanda ilikua inatumbuiza pale Diamond Jubilee hall .