Waweke round aboutHili suala la Buguruni foleni naona serikali imeamua kufumbia macho kabisa.
Madai ya Katiba mpya nchini yataanzia hapoHili suala la Buguruni foleni naona serikali imeamua kufumbia macho kabisa.
Hapa nazungumza nimekaa kwenye gari karibia masaa mawili kiasi cha kutamani kushuka niiache gari yangu nichukue bodaboda lakini sina chaguo.
Haya mateso hadi lini? Gharama za mafuta kipengele, traffic wanavyotukata faini kipengele, na foleni nayo kipengele hakuna kitu kigumu nchi hii kama kumiliki gari ni mateso tu.
Turudi kwenye mada hili suala la Buguruni kwanini serikali imelikalia kimya? Kwanini ni buguruni tu ndo pamekua sugu namna hiyo?
Pale Tazara hamna tatizo ijapo ilitakiwa kuwe na flyover mbili juu badala ya hiyo moja lakini ndugu zangu hapa Buguruni pameshindikana kabisa sijui solution ninini na serikali imekaa kimya tu.
Serikali haina hela ya kuwekeza kwenye miradi yenye faida kwa wananchi kwa sababu wao wakiwa wanapita na vimisafara vyao wanapishwa na magari yoteFoleni zitaishaje wakati tunajenga madaraja pekee kwenye junctions badala ya njia za juu zinazotembea umbali mrefu...
Kuna siku nimetumia masaa matatu kutoka njiapanda tabata hadi buguruni, hiyo ikanifanya nihamie tarime mazimaHili suala la Buguruni foleni naona serikali imeamua kufumbia macho kabisa.
Hapa nazungumza nimekaa kwenye gari karibia masaa mawili kiasi cha kutamani kushuka niiache gari yangu nichukue bodaboda lakini sina chaguo.
Haya mateso hadi lini? Gharama za mafuta kipengele, traffic wanavyotukata faini kipengele, na foleni nayo kipengele hakuna kitu kigumu nchi hii kama kumiliki gari ni mateso tu.
Turudi kwenye mada hili suala la Buguruni kwanini serikali imelikalia kimya? Kwanini ni buguruni tu ndo pamekua sugu namna hiyo?
Pale Tazara hamna tatizo ijapo ilitakiwa kuwe na flyover mbili juu badala ya hiyo moja lakini ndugu zangu hapa Buguruni pameshindikana kabisa sijui solution ninini na serikali imekaa kimya tu.
Hiyo foleni inatengenezwa makusudi na trafik mkoa wa ilala ili magari yatanue wakupige fine .wanamake sana hela hao na ushahidi upoHili suala la Buguruni foleni naona serikali imeamua kufumbia macho kabisa.
Hapa nazungumza nimekaa kwenye gari karibia masaa mawili kiasi cha kutamani kushuka niiache gari yangu nichukue bodaboda lakini sina chaguo.
Haya mateso hadi lini? Gharama za mafuta kipengele, traffic wanavyotukata faini kipengele, na foleni nayo kipengele hakuna kitu kigumu nchi hii kama kumiliki gari ni mateso tu.
Turudi kwenye mada hili suala la Buguruni kwanini serikali imelikalia kimya? Kwanini ni buguruni tu ndo pamekua sugu namna hiyo?
Pale Tazara hamna tatizo ijapo ilitakiwa kuwe na flyover mbili juu badala ya hiyo moja lakini ndugu zangu hapa Buguruni pameshindikana kabisa sijui solution ninini na serikali imekaa kimya tu.
Huo ni mradi wa trafiki kupata hela ya brush.ushahidi upobuguruni mpaka tabata ukitoboa hiyo sehemu
Hilo eneo la bigurini mpaka tabata huwa sinaga hamu nalo. Raha ya huko bodaboda. Raha ya kuendesha gari ipo kigamboni tu mji huuHili suala la Buguruni foleni naona serikali imeamua kufumbia macho kabisa.