Foleni toka Chalinze hadi Segera. Wanaenda kwao Moshi.

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,092
53,495
166754_10153758701482482_6753766120170475243_n.jpg
 
Muda huu nipo boma naingia mo town muda c mrefu,japo me sio type ya huku ni mwaliko tu
 
Hivi JPM hawezi kutumbua hili jipu la watu kwenda kuhesabiwa tukaelekeza hizo resources kwenye mambo ya maana?!

Mkuu Jpm Mwenyewe Alikataza Watu Kwenda Nje Ni Bora Watu Wakasalimie Wazazi Vijijini
 
Hivi JPM hawezi kutumbua hili jipu la watu kwenda kuhesabiwa tukaelekeza hizo resources kwenye mambo ya maana?!

Huo utakuwa ujinga wa karne.

Hizo hela zinazotumika ni za nani? Za serikali?
 
Watu na pesa zao unataka jpm awapangie matumizi!
Angalia usifike wakati wakupeleka na mkeo huko
 
Ticketi za ndege kwenda mwanza,mbeya zimeisha,mabasi ya kwenda mikoa yote yamejaa! Magari binafsi kwenda mikoa yote ni mengi! Sasa hii tabia ya ukanda wa kaskazini kujisifu kama vile wao ndo wenye ela peke yao unatoka wapi? Mnachosha!
 
wanataka kuwa kama wahaya
 
Back
Top Bottom