Naam kama ilivyokua utaratibu wa hii njia kila siku foleni kutokana na ubovu na ufinyu wa njia lakini leo nimeinyooshea mikono juu.
Saa 10:31 jioni ya leo nikiwa kwenye pikipiki na ndugu yangu pale kokoto nakutana na basi la superfeo linaloenda songea ambao hutoka stendi ya rangi 3 saa 10:00 jioni. Basi tukaliacha pale limekwama kwenye foleni mimi na ndugu yangu tumefika mzinga tukanunua mahitaji ili tukapike gheto. Tumefika gheto saa 11:17 jioni tumepika tumekula tumezungumza sasa tukapata simu tunahitajika Kongowe mwisho.
Nikaona tutembee maana si mbali ebwana enhee saa 1:48 usiku huu basi ile bado haijavuka kongowe ndo kwanza ipo bakwata. Nimewaza sana jinsi serikali hii isi yoithamini njia ya kusini na watu wake na sijui lini watasikiliza vilio vya watu yaan kipande cha kutembea dk 10 mtu anamaliza masaa 4 kweli na hajavuka si aibu hii. Miaka na miaka shida ile ile na serikali ipo inakusanya kodi na tozo🚮.
Kwahiyo wanaoishi huko ni wanyamaIzo sehem sio za kuishi binadam aisee
Njia yangu pendwa, ndani ya selous/superfeoNapenda sana kupita via Lindi, nikiwa naendaa Hometown Songea.
Napenda New force.Njia yangu pendwa, ndani ya selous/superfeo
Mkuu una uhakika hilo sio bus lingine maana yapo mengi. Mimi zamani na ushamba wangu nilijua daladala nyingi za mtu mmoja kisa zote zimeandikwa CITY BUS.Naam kama ilivyokua utaratibu wa hii njia kila siku foleni kutokana na ubovu na ufinyu wa njia lakini leo nimeinyooshea mikono juu.
Saa 10:31 jioni ya leo nikiwa kwenye pikipiki na ndugu yangu pale kokoto nakutana na basi la superfeo linaloenda songea ambao hutoka stendi ya rangi 3 saa 10:00 jioni. Basi tukaliacha pale limekwama kwenye foleni mimi na ndugu yangu tumefika mzinga tukanunua mahitaji ili tukapike gheto. Tumefika gheto saa 11:17 jioni tumepika tumekula tumezungumza sasa tukapata simu tunahitajika Kongowe mwisho.
Nikaona tutembee maana si mbali ebwana enhee saa 1:48 usiku huu basi ile bado haijavuka kongowe ndo kwanza ipo bakwata. Nimewaza sana jinsi serikali hii isi yoithamini njia ya kusini na watu wake na sijui lini watasikiliza vilio vya watu yaan kipande cha kutembea dk 10 mtu anamaliza masaa 4 kweli na hajavuka si aibu hii. Miaka na miaka shida ile ile na serikali ipo inakusanya kodi na tozo🚮.
Newforce walichonitendea, hamu nao sina. Superfeo nishakula nayo mweleka lakini sina option. Newforce hapana,🤗 wanipite tu.Napenda New force.
Kijana umri mdogo ila umepitia mengi 🤣🤣Niliwahi kukaa hapo Kanisani, kituo kinachofuata baada ya Mzinga.
Hiyo njia siku nyingine nyeupe peee.. ila siku ikiamua, unakuta foreni inakupokea roundabout ya kwenda chamazi huku.
Acha tu aisee.. Kaa kwote ila Kongowe achaa!!!Kijana umri mdogo ila umepitia mengi 🤣🤣
Ukiwa unaenda LizaboniDSM inaniudhi foleni, yaan unakua hauko huru kabisaa.
Ila hilo bus likifika kibiti, hapo ni mtelezo had songea Town.
Napenda sana kupita via Lindi, nikiwa naendaa Hometown Songea.
Ni kweli kabisa hata Mimi hua ninajiuliza huu utaratibu waliutoa wapiHuo ndio ukanda pekee nchini ambao viwanja vinauzwa kwa kipimo cha futi badala ya mita
Mimi zamani na ushamba wangu nilijua daladala nyingi za mtu mmoja kisa zote zimeandikwa CITY BUS.
Superfeo au Selous, hapana mie kwa kweliii.Newforce walichonitendea, hamu nao sina. Superfeo nishakula nayo mweleka lakini sina option. Newforce hapana,[emoji847] wanipite tu.