Foleni la hapa Buguruni shida nini?

Foleni la hapa Buguruni shida nini?

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,445
Reaction score
6,205
Ni siku kadhaa sasa hapa Buguruni kunakuwa na foleni isiyoeleweka. Leo Jumamosi mchana huu kuna bonge moja la foleni.

Hebu traffic litazameni hili, yaani toka Tabata Bima nimetoka saa saba kasoro hadi sasa hivi inaenda tisa sijavuka hata Buguruni, why?
 
Jana nilitoka Ubungo saa 6 mchana nikavuka buguruni saa 9, nilikuwa naelekea Gongo la Mboto. HaMachiach
 
Tatizo litaisha interchange ya ubungo ikikamilika magari yatateleza kama huko ulaya na marekani
 
Ni siku kadhaa sasa hapa Buguruni kunakuwa na foleni isiyoeleweka. Leo Jumamosi mchana huu kuna bonge moja la foleni.

Hebu traffic litazameni hili, yaani toka Tabata Bima nimetoka saa saba kasoro hadi sasa hivi inaenda tisa sijavuka hata Buguruni, why?

Tumeshajua mida yako ya kupita mitaa hiyo... Tutakuwekea tego siku

Cc Mshana Jr
 
Back
Top Bottom