Foleni kwenye Apple Stores!

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
Hii ni Paris, kuna wengine walikesha hapo hapo nje wakisubiri kununua iPhone 6 na iPhone 6 plus.


 
Hawa watu ni very sensitive na ni victims of marketing, sasa wanaonekana kama wajinga.
 
Mpaka kukesha! kweli muda wanao sana
 
ujuha unachangia hapa pia kukaa foleni ni masaa bila sababu ya maana. utadhani aiipata atafanya kitu ambacho hawezi kukifanya na telephoni yake ya sasa. akisubiri wiki moja ataipata hiyi iphone bila tatizo
 
Technology really rules the world! Am wondering whether there are enough sets for all these people.
Kimewachanganyia kweli aisee!
 
psychological power of the ''super brand''
 
Chezea apple ingekua Bongo wangesema hawa apple n Firiimason.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Kwani hufahamua ya kuwa Apple ni wale wale???

Hebu nenda google usearch secret society logos utaiona na Logo ya Apple ipo!
 
Alafu wasijue kwamba wenyewe mpaka sasa wana hadi apple 12,wanaweka software au wanabadilisha ukubwa wa kioo basi anakula hela za watu.

Ila ndio vizuri simu za mtumba zitaongezeka Africa.Nani anajua labda na mimi nitamiliki apple smartphone ya mtumba kwa bei ya nokia tochi,,,tetetetetetee!
 
Wakati bongo tunakuwa addicted na kukaa bar au bar mpya wenzetu ni technology....we acha tu.... Siku hizi waswahili wamehama toka Rose Garden na Breakpoint au Maryland Bar na Calabush na kwenda Target Bar, 777 Bar Mbezi Beach...Ijumaa hupati kiti pale
 
Me nilipanga foleni na kukesha Peke angu apple store pale quality centre
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…