mkalusanga
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 387
- 469
Habari za asubuhi hapa Mkuyuni Mwanza kuna foleni kubwa sana, magari hayaendi wala hayaludi ni shidaa tumechelewa watu ofisini
Ni hatari,sijui hata kuna niniHabari za asubuhi hapa mkyuni mwanza kuna jam kubwa sana magari hayaendiwala hayaludi ni shidaaaa tumechelewq watu ofisini