Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,572
- 4,825
Kutokana na lori la mafuta lililoanguka Kunduchi limezua foleni kubwa siku nzima ya leo
Tunaomba wahusika walitoe tupumue Maana wameanza kunyonya mafuta
Tunaomba wahusika walitoe tupumue Maana wameanza kunyonya mafuta