Foleni Kimara-Mbezi waendao Mikoani

Foleni Kimara-Mbezi waendao Mikoani

Ukitoka mbezi unakutana na foleni kwa yusufu kuelekea kibamba. Hataree
 
Ubungo.ni wilaya ya Mkoa wa Dsm

Ubungo ni kata inaunda Tarafa ya Ubungo, iliyo katika Wilaya ya Ubungo, na Kituo cha mabasi Ubungo kipo Kata ya Ubungo, katika Jimbo la Ubungo, ndani ya Manispaa ya Ubungo
 
Anamaanisha alifika kwenye mpaka wa Pwani na Dar pale mizani ya Zamani Kibaha, lakini alifika Ubungo saa nne. Au mipaka haujaitambua.mkuu?

Huo mpaka wa Dar na Pwani maeneo hayo, ukivuka kutoka Wilaya ya Kibaha, unaingia Wilaya ya Ubungo, kata ya Kibamba.

Sasa huyu jamaa anasemaje aliingia Dar then akaingia Ubungo?

Wakati, ukivuka mizani tu, unaingia Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam.
 
Ile foleni ya Kimara Ubungo sasa imehamia rasmi Kimara-Mbezi. Magari hayasogei kabisa kwa wale waendao mikoani. Hali imekuwa mbaya sana.

Fikiria unatumia masaa manne kutoka Kimara mpaka Mbezi. Nini shida wahusika?

Hakuna ajali, hakuna chochote cha maana kinachosababisha foleni.

Nadhani kuna uzembe wa waongoza magari (traffics).

Wahusika tatueni tatizo.
Mliwatukana TANROADS pale wachina walipoweka round about Ubungo na kukomesha foleni. Kwa kua TANROADS wanapenda foleni, sasa wameleta ya ukweli. Kama ninyi wanaume kweli wekeni roundabout Temboni.
 
Huo mpaka wa Dar na Pwani maeneo hayo, ukivuka kutoka Wilaya ya Kibaha, unaingia Wilaya ya Ubungo, kata ya Kibamba.

Sasa huyu jamaa anasemaje aliingia Dar then akaingia Ubungo?

Wakati, ukivuka mizani tu, unaingia Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam.
Aika ukivuka Mizani unaingia Dar? Mizani ipi? Ya Himo au Buseresere?
 
naenda segerea naweza pitia malamba maana hapa natokea moro
 
Back
Top Bottom