ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 956
- 1,878
Ile foleni ya Kimara Ubungo sasa imehamia rasmi Kimara-Mbezi. Magari hayasogei kabisa kwa wale waendao mikoani. Hali imekuwa mbaya sana.
Fikiria unatumia masaa manne kutoka Kimara mpaka Mbezi. Nini shida wahusika?
Hakuna ajali, hakuna chochote cha maana kinachosababisha foleni.
Nadhani kuna uzembe wa waongoza magari (traffics).
Wahusika tatueni tatizo.