Kimara foleni siyo ya kawaida. Magari hayatembei toka mida ya saa 12.30 asubuhi.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ndio mambo ya mvua hayo, dawa ni kuwahi kuamka haina ujanja.
Mimi naishi Mbezi ila nimefika mjini saa 7:00 kwa kuwa nilitoka mapema zaidi huko.
Nyinyi ndio wale mnaosinzia ofisini na kazi haziendi kuna mmoja ninaongea nae hapa huku kashikilia simu yake yaani anasinzia mpaka anadondosha simu.Suluhisho kaa karibu na mahali pako pa kazi.

Sasa muda huo unasafiri au unaenda kazini?mbona kazi imegeuka kero jamani.
Kipenzi ndio namna tuishivyo, kila siku kuna masaa 4 hadi 5 ya kukaa barabarani haswa kwa kina siye tuishio nje ya mji.
Ndio mambo ya mvua hayo, dawa ni kuwahi kuamka haina ujanja.
Mimi naishi Mbezi ila nimefika mjini saa 7:00 kwa kuwa nilitoka mapema zaidi huko.
vp huna mwenza nn?mvua na barid yote hii unawah kuamka unakwenda wap?mambo ni ku share body warmth
Fanya ujiajiri my dear, utazeeka kabla ya muda wako alafu iwe shida bure
vp huna mwenza nn?mvua na barid yote hii unawah kuamka unakwenda wap?mambo ni ku share body warmth
Yeah dear hiyo ndiyo option pekee kwa kweli....